NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥
Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL
Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba...
South Sudan has bought a piece of land in Djibouti for the construction of a harbour in its latest effort to find an alternative to the port of Mombasa which is facing an onslaught from Dar-es-Salaam.
South Sudan has bought three acres of land at the port of Djibouti for the construction of a...
1. Mapokezi ya Uwanjani huwa ni ya Kikatili
2. Wachezaji Kulishwa Sumu ni Kawaida sana
3. Basi mtakalotumia kupigwa Mawe si jambo geni
4. Mechi ikiwa inaendelea Wachezaji wenu muhimu Kupigwa Chupa au Kuvamiwa si la Kushangaa
5. Timu ikiwa inaenda Vyumbani wakati wa Mapumziko Wachezaji...
Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita.
Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira...
Mvua zinazoendelea Nchini Sudan zimesababisha mafuriko huku idadi ya vifo vya Watu ikifika 100
Hali ya dharura imetangazwa katika majimbo 6 yaliyoathiriwa vibaya ambapo Afisa wa Umoja wa Mataifa amesema zaidi ya Watu 280,000 wameathiriwa na mafuriko katika majimbo 15 kati ya 18.
Wananchi wengi...
Kwanza nikiri mechi ya Jana kati ya Simba na Al hilal sikuangalia Kwa lakini kutokana na mazingira nilikuwa sehemu za kugonga vyombo.
Lakini nimejifunza kitu Watanzania tuna ukarimu wa kiboya sana, tunawakarimu wageni wakija kwetu lakini tukienda kwao ni tofauti.
Kwa mechi kama ya Jana tena...
Zaidi ya Wanajeshi 200 wamefariki Dunia wakati wa mazoezi wakiwa katika kambi 18 za Sudan Kusini kabla ya kuhitimu mafunzo
Makamu wa Rais wa Kwanza, Riek Machar amesema sababu kubwa ni hali hewa,magonjwa kwani hakukuwa na dawa, njaa kwani chakula kilikuwa hakipatikani, ambapo waliofariki...
wachezaji 9 wako national team, magolikipa wawili, nani atadaka? Ally salim na Ferouz?
Haya kama ndiyo hivyo iwe heri msije mkatuabisha mkala magoli mengi afrika nzima itajua simba kapigwa story za kwamba kina manula hawakuwepo hakuna atakayetaka kuzisikia
Hapo namba 2 kwa mwenda dah Mungu...
Two link roads connecting Kenya and South Sudan will cost at least Sh22.6 billion as the roads agency seeks to open up the northern corridor.
The Kenya National Highway Authority (KeNHA) says in documents seeking approval from the National Environment Management Authority (Nema) that the first...
Umoja wa Mataifa unasema Sudan Kusini inaendelea kuwa "mazingira yenye vurugu zaidi" kwa watoa misaada ya kibinadamu ikifuatiwa na Afghanistan na Syria baada ya Wafanyakazi 5 wa Mashirika ya Kutoa Misaada kuuawa wakiwa kazini Ndani ya Mwaka 2022 pekee
Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur.
Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong...
Viongozi wa Sudan Kusini wametangaza hii leo kwamba Serikali ya mpito ya nchi hiyo itasalia madarakani kwa miaka miwili zaidi ya muda uliokubaliwa, katika hatua ambayo washirika wa kigeni wamesema inakosa uhalali.
Waziri anayehusika na masuala ya baraza la Mawaziri Martin Elia Lomuoro, amesema...
Sudan imefungua tena mpaka wake muhimu na Ethiopia wa Gallabat ambao ulifungwa Juni 27, baada ya kuishutumu Ethiopia kwa kuwanyonga wanajeshi wake saba.
Taarifa ya kamati ya kiufundi ya Baraza la Ulinzi na Usalama la Sudan imesema uamuzi huo umechukuliwa baada ya viongozi wa Sudan na Ethiopia...
Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita.
Waziri wa Afya wa Jimbo la Blue Nile, Gamal Nasser al-Sayed amesema vurugu hizo zimetokana na uchochezi wa...
Kondoo mmoja Nchini Sudan ya Kusini amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 45.
Mmiliki wa kondoo huyo ameamriwa kulipa ng'ombe watano kwa familia ya mwanamke huyo na pia kondoo huyo atatolewa...
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed amesema amefikia makubaliano na kiongozi wa nchi jirani ya Sudan ili kusuluhisha kwa amani mzozo wa mpaka ambao umesababisha mapigano hivi karibuni
Mazungumzo kati ya viongozi hao wawili yanafuatia mapigano katika eneo la mpakani mwezi Juni, ambapo Sudan...
Kiongozi wa Mapinduzi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litajiondoa katika mazungumzo ya Siasa yanayoendelea, na kuruhusu makundi ya Kisiasa na Kimapinduzi kuunda Serikali ya Mpito
Tangu Mapinduzi ya Oktoba 2021, kumekuwa na maandamano ya kupinga Utawala wa Kijeshi takriban kila...
Polisi nchini humo wanadaiwa kuwatawanya kwa mabomu ya machoI na risasi za moto Waandamanaji nchini humo waliodaiwa kufunga barabara kushinikiza ukomo wa utawala wa kijeshi, nakusababisha vifo takriban 9 na mamia kujeruhiwa
Inaelezwa kuwa huduma za intaneti na simu zilikatizwa, mamlaka...
Umoja wa Mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000.
Umoja wa mataifa umeripoti Alhamisi kwamba ghasia magharibi mwa Sudan mwezi huu pekee zimewakosesha makazi watu zaidi ya 84,000.
Imeongeza kuwa idadi hiyo...
Athari mbaya za Mabadiliko ya TabiaNchi, machafuko ya Kisiasa na kupanda kwa bei duniani vimepelekea uhaba wa Chakula kwa zaidi ya 30% ya Wananchi wa Taifa hilo
Inaelezwa kuwa, Watoto Milioni 3 walio chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na Utapiamlo, na takriban 375,000 wanaweza kupoteza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.