sudan

  1. beth

    Khartoum, Sudan: Polisi watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji

    Polisi wametumia Mabomu ya Machozi kutawanya Waandamanaji waliokusanyika karibu na Makazi ya Rais Jijini Khartoum, kuonesha hasira zao dhidi ya Makubaliano yaliyomrejesha Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok Madarakani. Licha ya Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan kumrejesha Hamdok na...
  2. beth

    Jeshi la Sudan lasema litaachana Siasa baada ya Uchaguzi kufanyika mwaka 2023

    Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litaacha kujishughulisha na Siasa baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 2023 Kamati za Upinzani na Vyama vya Siasa vimekuwa vinatoa wito kwa Jeshi kuacha madaraka, na wamekataa maelewano yoyote yakiwemo makubaliano na...
  3. beth

    Sudan: Wananchi waandamana kupinga Makubaliano yaliyomrejesha Hamdok madarakani

    Maelfu ya watu wameandamana katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum pamoja na Miji mingine. Vikosi vya Usalama vimetumia mabomu ya machozi dhidi ya Waandamanaji katika Mji wa Omdurman. Wananchi walikusanyika kutoa heshima kwa waliouawa na Vikosi vya Usalama. Pia, wamepinga Makubaliano yaliyomrejesha...
  4. beth

    Sudan: Mawaziri 12 wajiuzulu kupinga makubaliano na Jeshi

    Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na Baraza la Kijeshi. Hamdok alirejeshwa Madarakani baada ya kusaini Makubaliano na Jenerali Abdel...
  5. beth

    Sudan: Jeshi lamrejeshea madaraka Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok

    Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa. Chini ya makubaliano yaliyosainiwa pamoja na Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Hamdok ataongoza Serikali ya...
  6. Miss Zomboko

    Wanaharakati waitisha maandamano makubwa Sudan

    Wanaharakati wanaopinga mapinduzi nchini Sudan wameitisha maandamano makubwa leo Jumapili, wakati maafisa wa afya wakisema idadi ya watu waliouwawa imefikia 40. Marekani na Umoja wa Afrika zimelaani ukandamizaji dhidi ya waandamanaji na kuwataka viongozi wa Sudan kujizuia na matumizi ya nguvu...
  7. Miss Zomboko

    Sudan: Idadi ya waliouawa tangu Jeshi kuchukua Madaraka wafikia 39 baada ya wengine 15 kuuawa jana

    Vikosi vya usalama nchini Sudan wamewauwa waandamanaji 15 na kuwajeruhi wengine kadhaa baada ya kutumia risasi za moto kuyakabili makundi ya watu waliokusanyika kupinga hatua ya jeshi kunyakua madaraka. Duru kutoka nchini Sudan zinasema waandamanaji wote 15 waliouwawa ni kutoka wilaya za...
  8. beth

    Laini za Simu zaripotiwa kufungwa nchini Sudan

    Laini za Simu zimedaiwa kufungwa kabla ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Khartoum kupinga Utawala wa Kijeshi. Huduma za Intaneti zimeendelea kuminywa tangu Oktoba 25 licha ya kuwepo maagizo ya kuzirejesha, hali ambayo imeweka ugumu kwa Wanaharakati kuandaa...
  9. Miss Zomboko

    Watu watano wauawa wakati wa maandamano Sudan

    Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan. Kamati hiyo imedai kuwa vikosi vya baraza la mapinduzi ya kijeshi nchini humo, vilivamia hospitali...
  10. MK254

    Hongera Wakenya kwa kukuza lugha ya Kiswahili Sudan Kusini

    Niko huku Sudan Kusini nasaka mpunga kwenye mishe fulani hivi na nimefaulu kukatiza maeneo mengi na kushududia namna Wakenya wamehusika pakubwa kwenye kubadilisha maisha ya hawa watu waliokua wamezoea vita maporini. Kiswahili kinazidi kutamalaki na kuzagaa, leo hii kuna ushindani mkali baina ya...
  11. beth

    Sudan: Jeshi lakubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito

    Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN) Mjumbe Maalum wa UN, Volker Perthes amesema majadiliano hayo yametoa Muhtasari wa Mpango unaoweza kukabiliana na Mapinduzi ya...
  12. Red Giant

    South Sudan kuna fursa gani?

    Hii nchi inafursa gani ambazo mtanzania anaweza kuchangamkia?
  13. beth

    Sudan: Wanaopinga Mapinduzi ya Kijeshi waitisha maandamano ya nchi nzima

    Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia. Maelfu ya wananchi tayari wamekuwa wakiandamana kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, na...
  14. beth

    Sudan: Wananchi waendelea kuandamana kupinga mapinduzi, idadi ya vifo yafikia 11

    Maandamano ya kupinga Mapinduzi yaliyoongozwa na Jenerali Abdel Fattah al-Burhan yameendelea, huku Ripoti zikidai idadi ya waliopoteza maisha imeongezeka kufikia 11. Watendaji katika baadhi za Wizara na Taasisi za Serikali wamepinga hatua ya Jeshi kuchukua Mamlaka na wamekataa kuachia nafasi...
  15. The Sheriff

    Sudan: Serikali ya Kijeshi yawafuta kazi mabalozi 6 kwa kutokubaliana na Mapinduzi

    Serikali ya Kijeshi nchini Sudan imewafuta kazi mabalozi wake sita katika nchi za Marekani, Uchina, Qatar, Ufaransa, pamoja na Umoja wa Ulaya baada ya kutokubaliana na jeshi kutwaa mamlaka. Mamlaka hiyo pia imemfuta kazi mkuu wa ujumbe wa nchi hiyo katika mji wa Geneva, Uswizi. ====== General...
  16. beth

    Benki ya Dunia yasitisha Msaada kwa Sudan

    Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Uchumi wa Sudan, wakati huu ambapo unaanza kurejea katika hali yake Maamuzi...
  17. The Sheriff

    Umoja wa Afrika (AU) waisimamisha Sudan uanachama kufuatia Mapinduzi

    AU imesema kusimamishwa kwa uanachama wa Sudan kutatekelezwa hadi serikali ya mpito inayoongozwa na raia irejeshwe. ====== The African Union has said it suspended Sudan from all its activities after the Sudanese military overthrew the civilian-led transitional government in a coup. In a...
  18. beth

    Jeshi la Sudan ladai limechukua madaraka kuepusha vita

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Sudan, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amesema Jeshi limechukua Mamlaka ili kuzuia vita vya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo. Waziri Mkuu aliyeondolewa madarakani, Abdalla Hamdok amerejea nyumbani kwake. Imeelezwa, alipelekwa nyumbani kwa Jeneral Burhan kwa sababu ya...
  19. beth

    Sudan: Viongozi kadhaa akiwemo Waziri Mkuu, Abdallah Hamdok wadaiwa kukamatwa. Jeshi lavunja Utawala wa Kiraia

    Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa tete tangu kushindwa kwa jaribio la kufanya Mapinduzi Mwezi Septemba. Kukamatwa kwa watu hao...
  20. Hakainde

    Military forces arrest senior civilian figures in Sudan

    KHARTOUM– Military forces arrested several members of Sudan’s civilian leadership early on Monday, Al Hadath TV reported, as a prominent pro-democracy group called on Sudanese to take to the streets to resist any military coup. According to Al Hadath TV. Sudan’s Prime Minister Abdallah Hamdok...
Back
Top Bottom