sudan

  1. Webabu

    Baada ya Sudan kutangaza uhusiano na Israel, Wananchi wapinga

    Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan. Hata hivyo tangazo hilo limepingwa vikali na wananchi kupitia vyama vikuu vya kisiasa.Anayeongoza kupinga uhusiano huo ni Sadik El...
  2. MwanaSiasa Mkongwe

    Safari ya Sudani Kusini

    Safari Yangu Nchini Sudani Kusini ------------------------ Nchini Sudan Kusini, Mifugo Ni Mingi Kuliko Wanandamu. ------------------------ Nchi ya Sudani Kusini ni moja ya nchi inayopatikana hapa barani Afrika. Ukiwa hapa barani Afrika nchi ya Sudan Kusini inapatikana upande wa Afrika...
  3. Naton Jr

    Mtanzania ateuliwa kuiongoza Mamlaka ya Mapato ya Sudan Kusini (NRA)

    Kichwa cha habari chahusika Is this not funny? 😅😅😅😅 ============== Oct 7, 2020 (Thessherald)–The South Sudanese government has appointed an expatriate to lead the National Revenue Authority with the hope of formulating and implementing tax reforms in the country. Dr. Patrick Mugoya, is a...
  4. Webabu

    Sudan nao washtukia ushenga wa Marekani baina ya waarabu na Israel

    Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu barabarani,jina lake Abdalllah Hamdouk, sasa naye ameishtukia diplomasia ya Marekani. Wiki iliyopita...
  5. Geza Ulole

    South Sudan has just invited international companies to invest in refinery and pipeline

    South Sudan: Keeping the Oil Flowing September 25, 2020 Read about South Sudan’s emerging oil sector and more in the Africa Energy Series Special Report: South Sudan 2020 – the leading investor resource for tracking South Sudan’s current and future movements within the sector. Download the...
  6. Geza Ulole

    No paved road btn South Sudan and Kenya

    Apparently no road btn Juba and Nairobi/Lamu exists! Only LAPSSET noises exist! MY TAKE Tunaendelea kuimbiwa mara SGR Lamu to Juba mara SGR Lamu to Addis Ababa mara pipeline mara Lokichar International Airport. Ni kitu gani Uhuru kaweza 9th year now and no ship docks at Lamu port! Instead...
  7. beth

    Sudan yatangaza hali ya dharura kwa miezi 3 kutokana na mafuriko

    Mamlaka nchini humo zimetangaza hali ya dharura kwa muda wa miezu mitatu ikisema nchi hiyo ni eneo la maafa ya asili baada ya mafuriko kusababisha vifo vya watu zaidi ya 90 Waziri wa Kazi, Lena el-Sheikh amesema pamoja na vifo hivyo, mafuriko ya mwaka huu yamepelekea watu 46 kujeruhiwa huku...
  8. Analogia Malenga

    Rais wa zamani wa Sudan Omar Al Bashir afikishwa Mahakamani

    Rais aliyetolewa mamlakani wa Sudan Omar al-Bashir alifikishwa kortini siku ya Jumanne katika kesi yake iliyoanza kusikilizwa juu ya mapinduzi ya kijeshi ambayo yalipelekea kuchukua madaraka mnamo mwaka 1989. Akiwa ni rais wa zamani wa jamhuri, Bashir alionekana katika hali nzuri wakati...
  9. Analogia Malenga

    Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi

    Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi huyo hakuwa katika msafara huo wakati shambulio hilo lilipotokea. Msemaji wa Kiongozi huyo, Kalisto...
  10. IAfrika

    Benki Kuu ya Sudan Kusini yasema Akiba ya Fedha za Kigeni imekwisha

    Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
  11. Requal

    Ilikuaje Sudan Kaskazini ikawa na watu wenye rangi nyeupe (Waarabu) na Kusini kukawa na watu weusi?

    Sudan ilikuwa ni nchi moja kabla ya kugawanyika na kuwa nchi mbili hivi karibuni. Sasa binafsi nashangazwa kidogo kwa namna hii nchi ilivokuwa yaani kule kaskazini raia wa kule ni weupe peee mpaka nywele zao ambazo ni ndefu kama waarabu halafu wa kusini ni weusi tiiii nadhani Afrika nzima ndio...
  12. beth

    Sudan: Waziri wa Sheria asema Sheria zote zinazokiuka Haki za Binadamu zitafutwa

    Waziri wa Sheria wa Sudan, Nasredeen Abdulbari amesema nchi hiyo itazifuta Sheria zote ambazo zinakiuka Haki za Binadamu Sudan imetangaza mabadiliko mbalimbali ikiwemo kufuta Sheria ya Uasi na adhabu ya kucharazwa viboko. Pia, wananchi wasio Waislamu wameruhusiwa kunywa, kuagiza na kuuza vilevi...
  13. mwathadan

    Mombasa port records increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo in the first four months of the year

    The Mombasa port has recorded increased cargo destined to Tanzania, South Sudan and the DRC Congo while Uganda’s consignments declined in the first four months of this year. This is according to latest Kenya Ports Authority (KPA) performance report of 2020. The introduction and gazettement of...
  14. B

    Corona: Sudan ya Kusini hali ni tete, tuwasaidie. Uzoefu tunao

    Hali ni mbaya sana Sudani Kusini kuhusiana na huu ugonjwa. Kama ilivyokuwa kwetu na kugongelewa vilivyo na Mh. Makonda: "Watu huko wanapukutika kweli kweli." Hii siyo siri ya kuficha tena. Ndani ya mwezi mmoja tu hali iko hivi: Horror as South Sudan Loses 35 Generals, Senior Officials in one...
  15. Cannabis

    Sudan: Omar Bashir alilipwa mshahara wa dola za kimarekani millioni 20 kwa mwezi (zaidi ya Shillingi bilioni 46 za kitanzania)

    Rais wa Sudan Kusini Omar Al-Bashir alikuwa akipokea mshahara wa kila mwezi wa dola milioni 20 sawa na shillingi bilioni 46 za kitanzania kutoka kwa vyanzo visivyojulikana, hii imebainishwa na kamati ya kupambana na ufisadi ya nchi hiyo. Mwenyekiti wa Kamati hiyo ya Kupambana na Rushwa na...
  16. Analogia Malenga

    Makamu wa Rais Sudan Kusini akutwa na Corona

    Hussein Albelbagi, makamu wa tano wa Rais wa Sudan Kusini amekutwa na #CoronaVirus. Pia ni kiongozi wa tano kutangaza kuwa ana #COVIDI19 Sudan Kusini ilipata maambukizi ya kwanza ya #CoronaVirus Aprili 5, yaliyokutwa kwa mwanamke aliyeingia nchini humo Februari 28 akitokea Ethiopia Awali Rais...
  17. mwaswast

    Uganda, South Sudan and Rwanda cargo to be transported via SGR & MGR

    All transit cargo destined for Uganda, Rwanda & South Sudan to be transported by SGR to Naivasha or Metre Gauge Railway to Tororo/Kampala from June 1. ======= Transit cargo destined for Uganda, Rwanda and S.Sudan to be transported by SGR NAIROBI, Kenya, May 22- Transit cargo destined for...
  18. Suley2019

    Hundreds killed in South Sudan tribal clashes

    Violence has risen in recent months after the government in February designated ten new states, including Jonglei, but failed to agree on governor appointments, creating a power vacuum. Pieri, a town in Jonglei State in northeastern South Sudan, where MSF runs a primary healthcare centre. On...
  19. guwe_la_manga

    Njia rahisi ya kufikia Sudan Kusini ni ipi?

    Ningependa baada ya janga hili la Korona nizamie zangu Sudan Kusini Nafikaje huko? Usalama ukoje? Uimara wa sarafu yao ukoje? Fursa za biashara zipoje? Natanguliza shukranii
  20. Ziroseventytwo

    Vita vya Kagera 1979: Kwanini Jeshi letu lilipitia mipaka ya Sudan badala ya kukatiza hapo kati kufika Kampala?

    Tulizunguka sana. Arua, Kasese, portfot na kwingine kabla ya kufika Kampala. Swali ni kwanini tulizunguka sana badala ya kukatisha tu na kufika hapo kampala na kumtimua huyu nduli?
Back
Top Bottom