Sudan huenda ikaishiwa na dawa, mafuta na ngano baada ya maandamano ya kisiasa kulazimisha kufungwa kwa bandari kuu iliyopo mashariki mwa nchi, baraza la mawaziri limesema Jumapili.
Watu wa kabila la Beja ambao wanaishi mashariki mwa Sudan, walifunga barabara na kusababisha bandari za bahari ya...
Serikali Nchini humo imesema kumekuwepo jaribio la kufanya mapinduzi ambalo limeshindikana, na hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo.
Shirika la Habari la AFP limenukuu chanzo kilichosema kulikuwepo jaribio la kuvamia jengo ambalo linatumika na Vyombo vya Habari vya Serikali. Mahojiano na...
Mjumbe Maalum wa Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, Balozi Albino Ayurl Aboug amesema Taifa hilo linaomba kutumia Bandari ya Dar kusafirisha mizigo yake
Ameeleza hayo leo Ikulu Dar baada ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kuongeza kuwa Sudan Kusini bado inahitaji Walimu wa kufundisha...
Watu 84 wamefariki dunia na wengine 67 kujeruhiwa tangu kuanza kwa msimu wa mvua mwezi Julai. Mvua hizo zimeathiri Majimbo 14 kati ya 18 huku nyumba 30,000 zikiharibiwa.
Umoja wa Mataifa (UN) unakadiria takriban watu 102,000 wameathiriwa na mvua kubwa Nchini humo. Mwaka 2020, Sudan ilitangaza...
Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
With an eye on the Democratic Republic of Congo and South Sudan markets, there is renewed vibrancy on the Northern Corridor, as Uganda and Kenya join forces to push the rehabilitation and seamless connection of the old metre gauge railway line, over which the two countries’ officials met this...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amelivunja bunge katika hatua iliyosubiriwa kwa muda mrefu, akipanga kuwateua wabunge wapya kutoka pande mbili zilizokuwa na mzozo nchini humo.
Msemaji wa Kiir amewaeleza waandishi wa habari siku ya Jumapili kuwa bunge jipya litaunda muda si mrefu, ikiwa ni...
Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums.
Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?
Ni kweli kwamba wazungu walijua kiburi cha Al Bashir kilitokana na hazina kubwa ya mafuta hivyo wakaamua kuchochea...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibuni tena.
Kwa tahadhima, ninaomba nijibu mahitaji ya watu juu ya mfululizo huu wa 'nyuzi' za visa vya filamu kwa kutuma uzi huu wa tisa sasa kwa mfululizo.
Nakiri ni muda sasa lakini natumai hakuna kilichoharibika. Kwa 'weekend' hii...
Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona.
Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...
Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo
Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19.
Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam.
Majibu...
Sudan Kusini imepanga kubadili muda kuanzia Februari 1 ambapo itakuwa saa moja nyuma ya saa za Afrika Mashariki
Wanarudi kwenye ukanda wa muda wa UTC +2 ambapo kwa sasa wapo UTC +3. Katibu wa Kazi Hillary Wani Pitia amesema kijiografia UTC +2 ndio sahihi kwa Sudan Kusini.
Nchi inaweza kuseti...
Ukanda huu tunazidi kuufungua. Uzuri Sudan Kusini walishaacha kupigana pigana, ni mwendo wa biashara na amani sasa.
=====
Northern Kenya is undergoing a transformation following the upgrade of a key link road between Kenya and South Sudan.
The South Sudan Link road project is being undertaken...
Ni mfaransa, karibu sana simba kwanza tunataka utuhakikishie points atleast 4 toka kwa hao waajiri wako wa zamani.
Kocha wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan Didier Gomes da Rosa ameachana na klabu hiyo.
Taarifa zinadai huenda akawa kocha wa mabingwa wa Tanzania Simba SC.
Wakuu nimekutana na hii kitu, majirani zenu na watani wa jadi wamezuiwa kuingia Dubai (UAE)
Africa pia zimo Libya, Tunisia na Somalia.
=====
The United Arab Emirates has stopped issuing new visas to citizens of 13 mostly Muslim-majority countries, including Iran, Syria and Somalia...
Sudan imeamua kufunga mpaka wake na Ethiopia baada ya mvutano kati ya serikali ya shirikisho na utawala wa mkoa wa Tigray.
Kulingana na shirika rasmi la habari la Sudan, Fethurrahman al-Emin, gavana wa jimbo la Kesele kwenye mpaka wa Eritrea na Ethiopia, amesema kwamba baada ya mapigano huko...
Business between South Sudan and other east African countries downstream is expected to become much easier when Uganda completes construction of a modern logistics hub just closer to the border with its northern neighbour.
Uganda’s President Yoweri Museveni is expected in Gulu district in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.