Muda mrefu umepita sijamsikia Kamanda Sugu akizungumzia suala la Mkataba wa Bandari. Je ni mgonjwa?. Ni vema tukajua Kamanda yuko wapi na hali yake ikoje?.
Wasalamu, kupitia msaada wa mitandao ya jamii imefanikisha kulikamata tapeli sugu na maarufu nchini jina Yonah Kittah pichani chini.
Kwa miaka mingi amekuwa akifungia kampuni halali za kuuza viwanja na mashamba kwa kulipia kidogo kidogo kwa awamu.
Kisha ukishamaliza kulipa mkopo wako anaanza...
Kuna mchawi mmoja katika kijiji kimoja, jina la Kijiji limehifadhiwa. Huyu mchawi aliua vijana wengi sana, kwa mfano Kijana akija mjini siku akirudi nyumbani na kupeleka zawadi kwa wazazi wake, asipo mpelekea na yeye, ni kosa unastahili kufa au hata ukipeleka zawadi kwa wazazi inayozidi ya...
Nipo Mbeya kwa wiki tatu sasa, mjadala kwenye daladala na masokoni ni DP WORLD, nothing more. Watu hawamwelewi mbunge wao.
Sugu kama unataka kushinda jimbo lako, nafasi yako ndio hii, siwezi kukufundisha cha kufanya ila weka mikutano uwashitakie wananchi kwasababu wanahitaji kusikia toka kwa...
Hilo la bandari limemtia doa sana Rais Samia kwa Wananchi hadi wa chini kabisa!
Mwanasiasa ukiona umeanza kutetewa kwa nguvu zote na wapambe tambua utetewacho kwacho sicho sahihi kukifanya na ikiwezekana achana nacho.
La bandari na SINTOFAHAMU yake wamelipitisha kwa kulazimisha ila watambue...
Mbunge wa Zamani wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu Baada ya kukaa zaidi ya saa 6 pale JNIA akisubiri Ndege ameitaka Serikali iwape Waarabu na ATCL.
Bilionea Sugu amelalamika kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii.
=====
UKRISTO NI UDAKTARI BINGWA" KWAAJILI YA MAGONJWA SUGU NA WAGONJWA MAHUTUTI"
Anaandika, Robert Heriel
Yule Shahidi, Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Nami ni shahidi, mwonaji, Mtibeli ambaye ninayashudia haya. Wala sio kwaajili yangu Bali kwaajili yao watafuta Njia, Njia iliyochongwa na watangulizi...
Hello JF crew!
👇👇👇
Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote.
Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
Hoja ya kuligawa Jimbo la mbeya yawe 2, ni uoga na kumvimbisha kichwa Sugu. Jimbo la Mbeya halina idadi ya wakazi wengi kihivyo kama ulivyoeleza, na ni dogo Sana ukilinganisha na majimbo mengine ya mikoa mingine, CCM ni chama kikubwa na kinachokubalika Jimbo la mbeya hivyo usimpe credit Sugu...
Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi.
Tulia amesema ubunge wake yeye haijalishi...
Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu?
Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili?
Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
Kwa tuliokuwa tunafuatilia kwa karibu Hip Hop ya Bongo tunaikumbuka vizuri Mixtape ya Antivirus. Hii ni mixtape iliyokuwa engineered na Joseph Sugu na wenzake wakiwepo Mapacha, Rado na wengine. Wakati tukiwa Chuo Rado alikuwa mwenetu na mara kadhaa alitutembelea getto. Siku moja mwenetu akaja na...
Sugu na Mama ni marafiki bila kujali siasa. Hakuna kitu wala mtu yeyote anaweza kubadilisha hilo maana ndiyo ubinadamu kuna wakati watu wanakuwa marafiki bila kujali siasa.
Uhusiano wa Dkt. Tulia na Rais ni wa kisiasa tu na ni vigumu kuona hata Mama akicheka akiwa na Tulia.
Hii inamuogopesha...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
Mambo vipi,
Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu
Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili niitafute?
Natanguliza shukrani.
Mzee anajisnichi mwenyewe, ni kama anajivunia kwa kazi haramu aliyowahi kuifanya
uyu mzee ni kama vile sio mzima kwakweli, ana jitoa ufaamu wazi wazi.
anaonyesha hadi id yake aliyotumia Kenya pamoja na chapisho la gazeti kwamba ni "wanted".
chanzo ni Millard, ni credible source so nahisi...
Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili
Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa Sana
Location huku Tabata Kuna hatari...
Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
Habari wanajamii forums,
Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.