Wananiita Sugu!!! Nani!!
Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this.
Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM.
Malumbano yao hayana "upendo" ila yanajenga uadui kati yao na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishii...
Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya nyasa ninawasihi wenzetu katika demokrasia kumchagua kwa kishindo Joseph Mbilinyi (Sugu). SUGU ANATOSHA. Sababu ni zifuatazo;
1. Hana njaa ni tajiri. Hatatafuna michango yenu hovyo.
2. Ana misimamo binafsi. Hajamkabidhi akili Mbowe wala...
Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa.
Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/ Bado nipo dimbani na mic ipo mkononi/ labda huko niliko nifuateni/ maana inaonekana nitachelewa...
Batanzania.
Ni baeleze.
Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post.
Ameandika:
Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano
Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya.
Kwamba Baada ya...
Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu.
Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa...
Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua.
MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile;
Matatizo ya mifupa
kukosa damu
-matatizo ya mkojo
-kisukali
- Figo
-Ini
-Kansa ya damu
kansa ya utumbo mpana...
Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24.....
Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii?
Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
Hello!
Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi.
Turudi kwenye mada.
Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu).
Mfano
*Nitakusamehe kila kosa...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kwanza naomba niwaandae kisaikolojia, wale wote ambao wanafikiri kuwa Chadema haitoshiriki katika uchaguzi mkuu wa uraisi, na ubunge.
Utabiri wangu unaonesha kuwa Chadema itashiriki katika chaguzi zote mbili. Yani uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...
Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia
Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na mimba sizizotarajiwa
Fanya ngono uwezavyo lakini kumbuka kwamba watu wanatumia vidonge vya kufubaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.