suluhisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. El khelafi

    Jipu kwenye makalio nini suluhisho?

    Nimekuwa na watu kadhaa ambao walikua wakiuliza kuhusu kutokwa na majipu kwenye makalio na hata mimi hili tatizo limenipata. Ninahitaji ufafanuzi wenu wakuu, suluhu ni nini? Maan ki ukweli hadi kukaa ni shida, tunaomba mchango wenu. Changia kistaarabu.
  2. Da'Vinci

    Ethics/Moral philosophy inaweza kua suluhisho ya matatizo yako

    Wakuu, Moral philosophy ni tawi la falsafa linalohusu nadhalia za maadili (Ethics) na kanuni za maisha. Falsafa hii inamtaka mtu mtu kufanya maamuzi yake kwa kuangalia/kupima faida na hasara, uzuri na ubaya, Haki na dhuruma, na jinsi maamuzi yake yanaweza kuathiri wengine. NB: mtu...
  3. B

    Tundu Lissu atoa comment Sakata la Kariakoo na Suluhisho lake

    Yule Mwamba anayekubaliwa na wengi kwa kupigania Haki za Watu woote bila kujali misingi yao ya kiitikadi ametoa ushauri wake kuhusu sakata la Kariakoo na Wafanya biashara. Huyo Champion wa siasa za Bongo ameeleza pia nini kinaendelea na kusema kuwa chanzo kikubwa ni Katiba Ya Sasa ambayo imempa...
  4. Ali Nassor Px

    SoC03 Malalamiko ya Bando na Huduma nyingine za Mawasiliano, tatizo kuu ni Kutofuata Misingi ya Utawala Bora, na suluhisho ni hili

     UTANGULIZI TCRA NI NINI ? Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
  5. E

    SoC03 Suluhisho la viongozi mafisadi na wasio wajibika

    Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa huduma za msingi, na hali ya jumla ya kutokuwa na matumaini miongoni mwa watu. Hata hivyo, kuna...
  6. Stuxnet

    Suluhisho la Mfululuzo wa Matatizo ya Uwanja Wa Benjamin Mkapa: Ubinafsishwe kwa Sekta Binafsi

    Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo; 1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa 2. Kuvunjika kwa milango na...
  7. Huihui2

    Suluhisho La Ufaulu Law School : Wachujwe Kabla ya Kudahiliwa (Before Admission)

    Kwanza kabisa ninai blast tume ya Harrison Mwamwembe haikufanya lolote la kusaidia matatizo ya Law School. Mwamkyembe ni FAILURE katika ku deliver issues kama hizi. Kumbuka ripoti yake ya RICHMOND na Treni ya Metro aliyomleta Tapeli Shumake kutoka Chicago Najielekeza kwenye hoja yangu sasa...
  8. I am Groot

    MSAADA: Nini suluhisho la tatizo la sauti kwenye decoder ya DSTV?

    Wakuu, salam kwenu Jamani, kuna shida imeipata decoder yangu ya DSTV. Tatizo hili limeanza J4 pale nilipoiwasha asubuhi nikashangaa sisikii sauti licha ya sauti kuwa fullbars kwa pande zote; tv na decoder. Inasikika kwa mbali sana hata ukiwa karibu na tv ni ngumu kusikia vizuri. Nilijaribu...
  9. Maleven

    Kifupi, TANESCO sio wawajibikaji,mwenye mbadala wake anijuze

    Hapa ninapoandika umeme umekata, Sijui ni lini umeme kukatika itakua historia, at least kwa mwezi ukatike mara moja. Kwa mfano eneo ninapoishi, Ndano ya siku kumi (10) 1. Wameka umeme kuanzia asubuhi hadi jioni giza laanza kuingia mara tatu (3). 2. Wamekata umeme usiku kuanzia mida ya saa nne...
  10. B4g3g3

    Naomba suluhisho la ndege na kioo cha alminium cha one-way

    Kwa nje hili dirisha ni kama kioo kabisa hivyo ndege akipita anajiona, sasa wengine wanakingonga kama wanapambana na dege mwe1nginee, wameweka mikwaruzo mingi nahofia wataweka na cracks. Pia ni kero ukiwa karibu, nalitatua vipi
  11. L

    Vikwazo zaidi vilivyowekwa na nchi za Magharibi dhidi ya Russia vyaondoa uwezekano wa suluhisho la amani la mgogoro

    Wataalam wa China wamesema, hatua za karibuni za nchi za Magharibi za kuendelea kuitenga na kuongezea vikwazo Russia zinaondoa uwezekano wa mazungumzo ya amani, na badala yake, zitasababisha umwagaji damu zaidi katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine. Wataalam hao wametoa kauli hiyo baada ya...
  12. Yudasti

    Suluhisho la tatizo la Ajira Nchini

    Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla. Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila ajira ni chache, hivi tujiulize kidogo, tumewahi kubuni ajira ambazo hazijafikiriwa bado? Ni wazi...
  13. B

    Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

    Mfanyakazi wa Lake oil akimgudumia mteja ambapo kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia mauzo bila kuwepo vituoni. Na Mwandishi Wetu Kampuni ya huduma za malipo ya Pesapal imeanzisha huduma mpya ya kusaidia kusimamia...
  14. Faana

    Panya asiyezeeka anayetajwa kuwa suluhisho la saratani

    https://www.bbc.com/swahili/articles/cqv30pwjxzdo?at_link_origin=BBC_Swahili&at_campaign=Social_Flow&at_link_id=77AABDD8-93E7-11ED-9929-40A396E8478F&at_format=link&at_campaign_type=owned&at_bbc_team=editorial&at_medium=social&at_link_type=web_link&at_ptr_name=facebook_page&fbclid=IwAR1qS95Y5jIVv2...
  15. Balqior

    Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
  16. Kunguru wa Unguja

    Msaada,ni nini suluhisho au ni dawa gani au mmea gani wa asili unaweza ikawa suluhisho la Urinary tract infection kujirudia rudia?

    Habari ya muda huu ,natumai mmeamka salama yote anayewezesha kuwepo mpaka muda huu ni Mungu pekee. Bila ya kwenda mbali, nimeamua kuandika huu uzi kwa lengo la kupata ushauri juu ya ugonjwa huu ambao umekua unajirudia sanaa kwangu pamoja na kutumia madawa kama Ceftriaxone, Ciprofloxacin...
  17. Logikos

    Sakata la Bundles - Suluhisho

    Kutokana na Mvutano uliopo kati ya Serikali, Watoa Huduma na Wananchi kuhusu Bundles na Shutuma za Wizi inabidi sisi wananchi tuelewe tunataka nini na Wizi ni nini? Issue za Wizi: Kama kuna issue za Wizi na mtu kaibiwa kuna vyombo vya kisheria na TCRA inabidi mwananchi aweze kupeleka issue zake...
  18. Determinantor

    Serikali ya CCM imeshindwa kuleta suluhisho la Maji kwa zaidi ya nusu Karne Madarakani....Shame!

    Yaani ukiwakuta wamevaa zile uniform za Kijani wanavyoonekana kama Spinach utadhani ni Watu innocent na wenye maono makubwa kwenye Maendeleo ya nchi. Subutuuuuu!! Ni aibu unapita mikoani eti Kuna Watu wanachota maji kwenye madimbwi, juzi nilikua safarini huko, Kuna vijiji viko barabarani kabisa...
  19. SAYVILLE

    Suluhisho la haraka litafutwe kuondoa harufu mbaya maeneo ya Kivukoni

    Ndugu wananchi, leo nakuja na mada ngumu kidogo. Mazoea ya kitu hayahalalishi kwamba jambo hilo ni sawa. Linaweza kuwa tatizo lakini mazoea yakakufanya usione umuhimu wa kulitatua. Tumekuwa tunaishi miaka mingi na uwepo wa soko la samaki pale Kivukoni au wengi wanapaita Ferry. Soko lile pamoja...
  20. M

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    ✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c 👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa Mizigo yoyote uliyoagiza/Utakayoagiza kama vile Magari,Makontena, E.t.c 👉🏼 Bila kusahau tunatoa Mikopo...
Back
Top Bottom