Salam wakuu,
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wavivu wa mawazo kukimbilia kujiunga na Chama Cha mapinduzi kwa kuamini kwao itakuwa fursa ya kufanikiwa either kupata kazi serikali na sio kupata connection za deal kubwa kubwa kama tender katika idara kubwa kubwa utashi huo wengi hawajafikia...
Kuna Mmoja nimetoka na Panga ili nikabiliane nae Kikamilifu nikakuta amenisonya na Kujamba kama Binadamu nikaamua kurudi tu ndani na Panga langu na Kuendelea kuwa hapa JamiiForums, ila kwa Nje nawasikia Wakilia kama Watoto Wachanga na tena sasa hivi Wamezidisha Kulia na wakisogea upande wa...
OZONE LAYER
Kinachoitofautisha Dunia na sayari nyingine kama Mars, Mercury na Venus (terrestrial planets) ni uwepo wa ozone layer na ndiyo ambayo inafanya maisha yanawezekana.
KAZI ZA OZONE LAYER
Kuzuia solar radiation. Kinachozuia colonization ya sayari nyingine ni kuwepo kwa solar...
Wakati sisi tukila kushiba na kulala pazuri kwenye majumba mazuri kuna mtoto wa mika 7 hadi 17 analala nje ya kibalaza bila shuka wala godolo! Mimi binafsi huwa najiuza hawa Watoto wanatokaje majumbani mwao nakuja kulanda landa mtaani kwa akili ya haraka unaweza kuanza kulaumu wazazi ama walezi...
MALEZI BORA SULUHISHO LA YOTE.
Ni wazi kwamba sisi sote tumekuwa wa kwanza na wapenzi wa misemo ya kiswahili hususani "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo", " samaki mkunje angali mbichi", " Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu". Je Hawa walimwengu ni kina nani haswa ambao watamfunza?, Je...
Suluhisho la ukosefu wa ajira Tanzania.
Utangulizi;
Ukosefu wa ajira imekuwa tatizo kubwa Sana kwa nchi zinazoendelea na nchi yetu Tanzania ikiwa miongoni. Tatizo linaanzia kwa mfumo wa elimu unaowaandaa vijana wasomi namna ya kuja kukabili hii hali ya ukosefu wa ajira imekuwa haina tiba...
Hisabati ni somo linalohusisha namba, maumbo, mafumbo, uhusiano baina yao pamoja na vipimo mbalimbali (merrium webster). Sehemu kubwa ya somo hili ni namba 0 mpaka 9 ambazo humtaka mwanafunzi kuhudhurisha ubongo na fikra katika kutegua changamoto mbalimbali. Takwimu zinaonesha kumekuwa na ufaulu...
Mpaka sasa nchini mwetu kuna tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira, ni ukweli usiopingika kwamba hakuna taifa lolote duniani sio hata Marekani inayofahamika kuwa na maendeleo makubwa yenye uwezo wa kuajiri watu wake wote, isitoshe watu hawa wasio kwenye mfumo wa ajira za serikali wanahitajika...
UTAWALA (BORA)
Uwepo wa Uongozi na serikali mbalimbali una lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wanaowaongoza na njia mojawapo ambayo ni kiungo muhimu cha kufikisha maendeleo hayo kwa wanachi hao ni utawala, hivyo utawala ambao ni bora ukizingatiwa ni wazi maendeleo na matokeo chanya...
Solid State Driver (SSD) Ndo suluhisho la uzito wa Computer yako! Simple tu Unatoa Hard Disk unaweka SATA SSD ata kama machine yako ina Ram GB2 lakini ukiwa na SSD Computer yako itakuwa nyepesi kuliko mwenye Computer yenye RAM 8 alafu inatumia HARD DRIVE yakawaida.
Sio bei kubwa mdau wangu, ni...
Kazi iendelee!
Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu zote kwa jitihada zao za kutatua changamoto za wananchi.
Pamoja na hayo, kuna baadhi ya miradi...
Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo. Vilevile Utawala wa viongozi ukiwa bora/mzuri utapelekea ukuaji mzuri wa uchumi. Kwa maana hiyo...
Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona.
Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
Amani iwe nanyi
Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis.
Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
Leo tutazungumzia tatizo linalowapata watu wengi sana pale umri wao unapokuwa umezidi miaka 50 na hasa wale wenye miili mikubwa. Nina uhakika kuwa umewaona akina mama wenye umri mkubwa na miili mikubwa wanavyopata shida kutembea huku wakiinama toka upande mmoja hadi mwingine kila wakipiga hatua...
Historia ya mji wa kigamboni ilikuwa shamba, kama ilivyokuwa mbezi beach na maeneo mengine yaliyokuwa pembezoni mwa mzizima (Dar)
Mawazo ya kuleta kivuko pale kigamboni yalilenga tiba ya dharula kwa wakati huo teknolojia ilikuwa haijasambaa duniani!
Hivyo matumizi ya kivuko siyo usafili wa...
Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
Naandika nikiwa na masikitiko makubwa sana.
Ina maana viongozi wetu hawaoni kwamba umachinga na bodaboda sio suluhisho la uhakika kuhusu ajira? Viongozi wote wa Chama Tawala na upinzani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia makundi haya mawili ku-boost agenda zao za kisiasa wakati wakijua hizo...
Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi.
Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
Waganga wa kienyeji wamegawanyika katika makundi mawili.
1: Wanaotumia mitishamba kutibu bila kuhusisha mizimu au ramli au ushirikina. Hata nabii isaya aliwahi kutumia mitishamba kumtibu Mfalme Hezekiah. Hata Yesu aliwahi kutumia tope kumtibu kipofu macho.
Sizungumzii hawa...
2: Kundi kubwa LA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.