Salaam Wakuu.
Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu
Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku.
NAMNA WANAVYOFANYA KAZI
Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
Watu wengi ambao hua wanasikia kwamba mwanaume amenasa kwenye uke wa mwanamke hua wanadhani labda kuna mambo ya kishirikina yamehusika hasa kama ni mme au ni mke wa mtu kitu ambacho hua sio kweli wakati wote.
Tatizo la uume kunaswa kwenye uke sio hadithi au imani kama watu wanavyofikiri, ila...
Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa.
Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili kutatua changamoto hii, tuweke mapendekezo mbalimbali yafanyiwe kazi. Miongoni mwa mapendekezo hayo ni...
Ila ana point kweli huyu mwamba, maana hv ndo tunaweza kuepukana na simcard tax za Mzee Mwigu.
Kwa hio kajamaa kanamaanisha na sisi Tanzania tutakuwa na ka CIA ketu na ka FBI au sio? Ila sisi ni kwenye mambo ya hela.
Sawa, nimekuelewa.
===
REVENUE INTELLIGENCE BUREAU (RIB)
(Kumradhi Mama...
Naomba kwanza tumsikilize Mkuu wa Mkoa.
Video clips zinachelewa kupanda lakini In shaa Allah tutazipandisha, ni muda tu.
Baada ya kumsikiliza mkuu wa mkoa na tatizo la uchafu na biashara kuwa kiholela mitaa ya Dar. AlhamduliLllah Madrassatul Abaraar darasa la vifaa vya ujenzi tumekuja na...
Nimeamka asubuhi leo na kukutana na threads kadhaa za watu wakilalamika kuhusu usaliti unaoendelea kwenye mahusiano yao. Na kwa miaka ya karibuni, 'uaminifu' kwenye mahusiano imekuwa ni kitu adimu sana na ukikipata basi ni bahati na itabidi upambane usikipoteze. Kila mtu ataongea mengi na atatoa...
Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa?
Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu itakayodeal na masuala ya Bandari tu.
Bandari ya Dar es Salaam pekee inaingiza fedha nyingi zaidi ya...
Naomba msaada wenu. Wife wangu amekuwa na tatizo la kutopata usingizi wakati wa usiku na mjqmzito wa miez 3.
Hii hali imekuwa tete sasa. Kwa maana anaweza asilale hata wiki nzima wakati wa usiku lakin ikifika midaa ya 12. Hapo anapata usingiz mpka midaa ya saa 4.
Sasa hofu yangu ni afya yake...
Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k
Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.