Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.
Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
Amani
Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe.
“Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022.
Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa...
Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo.
Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia.
Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA
Maana ya ukosefu wa ajira.
Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa na shughuli(kazi) rasmi ya kumuingizia kipato. Neno “ Ukosefu wa ajira “ imekuwa wimbo wa...
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo.
Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote.
Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
Kwamba nyumba ambayo makosa yake hayasemwi na kufunikwa nyumba hiyo haiishi. Bila ya kusema makosa hayo ipo siku yatakuwa mengi na madhara yake yatakuwa makubwa lakini yakisemwa basi utapatikana muda wa kujirekebisha.
Asipojirekebisha je, basi anaamishwa sehemu nyingine akaendeleze madudu yake...
Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea.
Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo.
Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
Sabato Njema!
Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi.
Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi.
Hii inasababishwa na nini? Kuna...
Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
Baada ya Raila Odinga kukataa Matokeo ya Kura ya Urais, Umoja wa Ulaya (EU), umetoa wito wa kusuluhishwa kwa mzozo huo kwa amani na kuwasihi viongozi wote wa kisiasa kuepuka ghasia
Taarifa iliyotolewa na Mwakilishi wa Umoja huo, Joseph Borrel imependekeza mzozo unaoendelea na wasiwasi wowote...
Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita. Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo wala nguvu ya kuweza kuja...
Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato.
Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara mkoani Tanga, siku ya Jumapili Agosti 14 Mwaka huu.
Katika ziara yake mkoani Tanga Rais Samia Suluhu anatarajiwa kuzindua Chuo cha Jeshi la uhamiaji cha Taifa pamoja na kufunga mafunzo ya askari 818 wa Jeshi...
Ndugu zangu Kuna kipindi fulani ilikuwa ukisikia kuwa kesho katibu mkuu wa Chadema Mh. Dr Slaa atakuwa na mazungumzo muda fulani, ni kama nchi ilikuwa inasimama. Vyombo vyote vya habari vilikuwa vinafika hata kabla ya muda husika, kila mtanzania alikuwa anatega sikio kusikia nini kitakacho...
Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima.
Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.