Moja kwa moja kwenye mada, mods msiuunge huu uzi na nyuzi nyingine, ladha zinatofautiana.
Inawezekana kabisa walioko kwenye mifumo wanajua shida iko wapi, ila tatizo lao kubwa ni ubinafsi na kutojali watu wao - UBINAFSI NI TABIA MOJAWAPO SUGU YA MWAFRICA, NI SAWA NA UCHAWI TU...