sumaye

Frederick Tluway Sumaye (born 29 May 1950) is a Tanzanian politician who was Prime Minister of Tanzania from 28 November 1995 to 30 December 2005.

View More On Wikipedia.org
  1. Pre GE2025 Stephen Wassira akutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu staafu Fredrick Sumaye

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni...
  2. D

    Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

    Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
  3. Kiwanja kinauzwa, kiluvya kwa sumaye square meter 556.5 tsh. Mil 14

    Karibuni kiwanja wana jamiiforum, kipo sehemu nzuri kutoka kiluvya madukani mpaka kilipo nauli ni buku. Kiwanja hakina udalali na maelewano yapo. kwa mawasiliano zaidi karibu +255617011077 +255713392367
  4. Mzee Sumaye: Nilihamia upinzani kwa faida ya CCM

    "Watu wanafikiri nilienda Upinzani kwa sababu nilikasirika, lakini hapana, niliongea na Waandishi wa Habari nikawaeleza sababu ya mimi kuhamia upinzani ni niliona nchi inaenda kuongozwa kwa hasira, nikashauri tujenge chama kingine kama CCM ammbacho kitakuja kuongoza nchi kwa sababu najua kuna...
  5. Fredrick Sumaye: Samia anaandaa Tanzania ya kesho

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amesema Rais Samia Suluhu Hassan anafanya kazi kubwa ya kuandaa Tanzania ya kesho. Sumaye alisema hayo jana katika Kata ya Bonga, mkoani Manyara wakati alipopewa nafasi na Rais Samia ya kusalimia wakati msafara wa Rais uliposimama hapo akiwa njiani kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…