GE2025 Je Mpina ni double agent kama walivyokuwa Lowassa, Mrema, Sumaye na Nyalandu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
336
Reaction score
1,960
Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.

Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana

Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?

Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?

Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.

Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
 
Ahaaaa
 
Mpina kadhamilia mkuu, SIO kibaraka HUYO SEMA Kuna mistake kufanya, imeonesha ni jinsi GANI ALIKUA msaliti, ye angekausha akaanza suka mambo chin chin MBONA ALIKUA anapeta TU MAPEMA humohumo. KIPIND kile waliogopa kumshambulia SABABU mwenzao ila SASA HIVI mhhhhh.

Kwishaaaaaa
 
Double agent?? Labda mrema.

Lowasa alidhamiria, He was pushed to the core.. Aliona ajaribu bahati yake kivingine .
 
Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.

Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana

Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?

Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?

Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.

Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Wewe ulitaka nani ndo ujue ni mpinzani wa kweli!?
 
CCM INAENDESHWA NA WATU WENYE AKILI NYINGI SANA,HUWA MARA NYINGI INAPLANT MTU WA KUIPINGA KWA NGUVU ZOTE YENYEWE!,
Note this!
1753085585681.jpg
 
Chama kina vinasaba na "dini ya amani" wale waliomeguka kutoka hakiiiii ambao lengo lao wakichukua madaraka ni kuleta nchini mfumo wa" daesh" au dawlah islamiyyah" si unaona wote wamekimbilia huko?
 
Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.

Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana

Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?

Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?

Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.

Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Hawa wote uliwaorodhesha siyo ma-double agents. Walihama kweli. Tatizo ni kuwa upinzani Tanzania unahitaji roho ngumu, uvumulivu na determination ya hali ya juu. Walihama wakidhani wanaweza kuiangusha serikali kwa urahisi kumbe sivyo.
 
Huwa ni viini macho na kupumbazwa ili mambo yaendelee. Yaani tuwe busy na tukio halafu tukio dhamiriwa litamatike. Huyo baada ya Uchaguzi Mkuu atarudi chama chake.
 
Nchi hii ukisinzia, ukiamka unakuta mambo mengi sana. Anyway wote wasaka tonge hao na hiyo ndio nature ya binadamu so very selfish.
 
Watanzania hatujawa wapinzani. Tunataraji mabadiliko yaletwe na viongozi wa vyama.
 
Na matusi yote Bungeni lakini CCM hawajawahi kumuita hata Kamati ya maadili, anyway, sisi chadema kazi yetu kushangilia tu
Kwani Bungeni huyu jamaa amewahi kutukana matusi? Hebu tusanue jamaa yangu ni matusi yapi alitukana? Au zile takwimu alizokua anatoa kuhusu sukari na deni la taifa Hali kadhalika kukopa kusikoeleweka Ndio matusi? Mana siku hizi kukosoa Kwa wale wa CCM ni matusi, ajabu hata huku uraiani hakuna aliwahi kushtakiwa Kwa kutoa lugha ya matusi, meanwhile tunasema sisi tnafuata utawala wa Sheria, na zipo Sheria za kushughulika na watoa matusi! Hebu tusaide bwana kinembe
 
Ni ngumu Sana mtu kuwa waziri ndani ya hii nchi uvune Siri za baraza halafu ukawe mpinzani hii Tanzania haiwezekani.

Yaani mtu akae ndani ya baraza la mawaziri halafu badae mpinzani kwa Tanzania siasa zake zilivyo ni ngumu Sana

Je inawezekana ameenda kwa kazi maalumu na akimaliza atarudi nyumbani?

Je huyu ndio wale double agent ambao upikwa ndani ya CCM na na idara ya ujasusi ya Tanzania kwenda kuadaa upinzania ili CCM uendelee kutawala hii nchi?

Poleni Sana Watanzania kwa kutafuta mageuzi kwa kutumia watu ambao hawapo tayari kuleta mageuzi wapo wanawatumia tu Kama toilet paper toka mwaka 1995.

Bado Mbowe kwenda Chauma ili kundi la mafisadi toka mwaka 1994 lilijipanga sana.
Hivi kwa nini mtu akikatwa akaenda kutafuta maisha pengine mnasema ni double agent?

Yaani awe pandikizi kwa kukatwa, basi kama double agent hupandikizwa kwa kukatwa jina na kupelekwa chama kingine basi kama nchi tupo dunia ya peke yetu.
 
Njia pekee ya kupambana na mfumo mbovu sasa hivi ni kuendelea kubaki ndani ya chama na kupigana humo humo.​
 
Nilivyoshauri Chadema na Tundu Lissu wahamie CCM kama kweli wanamaanisha katika kuleta mabadiliko ya kweli. Baadhi yenu hamkunielewa. Sasa nyie baadhi mmeanza kutuelewa !
 
Back
Top Bottom