GE2025 Je Mpina ni double agent kama walivyokuwa Lowassa, Mrema, Sumaye na Nyalandu?

GE2025 Je Mpina ni double agent kama walivyokuwa Lowassa, Mrema, Sumaye na Nyalandu?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
In long run process inaweza walk out hii!!
 
Na matusi yote Bungeni lakini CCM hawajawahi kumuita hata Kamati ya maadili, anyway, sisi chadema kazi yetu kushangilia tu
Mwaka jana january aliitwa kwenye kamati ya maadili.

Hili jukwaa sasa hivi watu wanaandika wanachojisikia kila muda ni uongo uongo
 
Back
Top Bottom