Ukifika pakistani unaweza kushangaa kongoro lilivyo tengenezwa ila hapa kwetu tokea mchaga kugundua ni mfumo ule ule tu bila kujiongeza.
Leo hii wali wa wanaijeria ni tofauti na Ghana.
Au pilau ya india ni tofauti ya pakistani.
Tuje kwenye nchi zinauza chips mfano france,wingereza na USA ni...
Abari za muda ndugu zangu
Nyumbani naonatu pamekuwa pabovu mno... Toka jana yani
Jana nilinunua kilo mbili za nyama, nikamuambia mama mtu anitengee kilo anipikie supu ninywe, kisha inayobaki wale yeye na wanaye wawili kwakua inawatosha
Basi nikatengewq mezani. Kwa kua mimi ni baba nikawaita...
Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
Wakuu imezoeleka kwamba mtu unapoamka asubuhi na hang_over au mning`inio kwa kibantu basi watu wengi hukimbilia supu ya nyama makongoro au miguu ya wanyama walao nyasi.
Kiuhalisia supu ya nyama peke yake haitoi mning`io. Unachotakiwa ni KUTAFUNA NDIZI na kumeza mchuzi wake kwa takribani dakika...
Wewe shabiki wa timu kama usipopewa supu unywe na timu Yako upata nini kutoka kwenye timu Yako? Hasara mwanzo mwisho. Kama timu zinarejesha kwa jamii kwanini iwe shida kurejesha kwa wanachama na mashabiki? Yanga wako sahihi sana kunywa supu kutoka kwenye club yao baada ya kununua jezi, kutoa...
Msimu uliopita tumekwazika sana, pengine katika maisha yetu ya soka hasa kwa vijana wa kizazi hiki wasioijua simba msimu uliopita tulipoteana sana, sisi ndio tumewafanya Yanga waonekane wako juu kutokana na kuhujumiana, kusalitiana, migogoro ya wenyewe kwa wenyewe nk.
Hata hivyo mambo yote hayo...
Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka.
Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki.
Ujinga wetu mkubwa ni kuwategemea sana wanasiasa kusimamia maslahi yetu bila sisi kuwasimamia wao...
Shalom,
Mimi kama Chief Mapenzi nina ujumbe wenu hapa.
Tukumbushane au tupeane madini ya kazi kazi au shoo shoo, soup ya kongolo ni baba lao, soup ya kongolo the big dady kwenye shoo kali.
Usijeukamtafuta mchawi chukua hii ikusaidie.
Ijumaa Kareem
Wadiz a k.a Chief Mapenzi
Pweza ni biashara yenye faida hebu Ona huyo pweza nimemnunua 5000 ukimkata vipande vidogo vinatoka vipande zaidi ya 20 unapata 10000 pweza mmoja tu ukimtengenezea utratibu wa mpango wa mradi wenye maendeleo.
Mtu mmoja akanishangaa kwamba Kwa mchanganyiko huo wa ndizi mbivu na supu ya nyama ama ya pweza kwamba natafuta kitu gani tumboni yeye anachojua Kwamba ndizi ni tamu zina sukari huku supu inahitaji chumvi so haifai kuchanganya sukari na chumvi sijui sayansi yake ya wapi mbona me sijaliona tatizo...
Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba...
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea rangi yake kuwa nyeusi ni maarufu maeneo tajwa
Wadau je kiafya kuna Usalama?
Karibuni tujadili
Supu ya nyama ina nini cha ziada Mimi naona kama ni maji tu,unakuta mtu anakunywa mapombe too much akiamini supu yenye kakipande kamoja cha nyama inasaidia kutibu madhara ya pombe alizokunywa.
At least Ki dogo iwe supu nzito yenye viazi, karotihohonyama pc 5 ila sio supu hizi za uswahilini za...
Za jioni wakuu, supu ya pweza ni maarufu sana Dar es salaam mida ya jioni ambapo tunaona watu wanauza supu kwenye vimeza vyao.
Sasa kitu kinachofanya nije leo ni ulevi wa supu ya pweza aisee nimejitahidi kuacha nimeshindwa yaani kila nikitoka kazini njia ya kwenda nyumbani kuna kibanda...
Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive.
Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema.
Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
ahukumiwa
bure
chakula
chakula sumu
dawa
gharama
hata
hatari
hospitalini
kifungo
kuchanganya
kunogesha
lishe
magonjwa
mahakama
mama lishe
mapishi
mkaa
mmoja
mtu
mtu mmoja
sumu
supu
utumbo