supu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kokudo

    Kati ya supu zote unapendelea ipi?

    Binafsi napenda sana supu ya samaki tena napenda kuagiza kichwa maana bila ya kula jicho sijajickia kama nimekula. Lakini pia kama hakuna napenda supu ya bata huniburudisha kwa radha yake kama hutotokwa jasho basi una matatizo kiafya. Haiishi hamu unatamani uendeleeeeee. Wewe unapenda ipi?
Back
Top Bottom