Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe.
Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
Vijiwe kibao vinauza eti supu ya maharage.
Unakuta watu wa Dar wanakatakata chapati na kuchanganya na maharage nao wanaona wanapata supu kukata hangover
Mbona sisi huku Igunga ni mwendo wa supu ya kuku, mbuzi n.k
Dar mbona kila kitu tabu?
Enzi hizo mnatoka Jolly mnakesha Las Vegas Casino au Billz kunakucha sa kumi na mbili kijua hichoo, mko nyanganyanga mnachomoka hadi kino wale tuliokaa mitaa hiyo Mnaishia Kiria Bar.
Sufuria kuubwa lina supu mabichwa ya mbuzi, bandama, mikia, mapupu, ulimi
Linachemka Unapewa waya, unachomoa...
Wakuu,
Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili tofauti!
Hizi picha nimetoa mtandaoni, moja ni supu nyingine ni mchemsho, lakini mimi sioni tofauti...
EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi
TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali.
Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
Kuna siku nilisikia kuna vidonge vya supu ili kuifanya kuwa na ladha lakini niliyemsikia akisema siweza kupata fursa ya kumuuliza kwa kuwa nilikuwa safarini na yeye ni muuzaji wa njiani na alikuwa amezongwa na wateja wengi.
Je, ni kweli kuna vidonge vya supu? Au niweke nini kwenye supu ili iwe...
Changamoto ya wanaume kuhangaikia nguvu za kiume imekuwa kubwa. Baadhi huamini kuwa supu ya pweza ni jawabu tosha, jambo lililomfanya samaki huyu ajipatie umaarufu mkubwa katika kunusuru ndoa na urafiki wa kimapenzi wa vijana wengi.
Kuna ukweli wowote kuwa supu ya pweza husaidia kuongeza...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Moris Makoi amesema kuna tabia ya baadhi ya watu kuchinja mbwa na kuuza nyama kwenye mabucha huku wengine wakichemsha supu ya mbwa na ndizi na kuwauzia watu wakidai ni supu ya nyama ya ng’ombe.
Akizungumza kuhusu tatizo hilo Makoi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuwa changamoto inayowapata vijana wanapotaka kuongeza jamii inatonakana na uwepo wa lishe duni.
Ametolea mfano wa matumizi makubwa ya vumbi la mkongo na supu ya pweza kwa vijana wa kiume, pamoja na matumizi makubwa ya chips...
Kiukweli bangi haina shida kama inavyotangazwa vibaya. Bangi haina tofauti na kahawa. Tena bangi inafaida sana. Moja ya faida ya bangi ni kukata hangover. hakuna dawa nzuri ya hangover kama bangi. Napendekeza watu waruhusiwe kupata supu ya bangi ili kukata hangover. Assume supu ya mbuzi imeungwa...
Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani...
Tulizoea bidhaa kama ngozi ya ng'ombe ikitumika katika utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama vile mikanda, Mabegi nk. Nina mwezi mzima na zaidi naweka oda ya ngozi ya ng'ombe kwa ajili ya kumchemshia mbwa nakosa nashindwa kujua kwanini. Basi ikabidi nimuulize huyo muuza bucha kwanini zimekuwa...
Mchungaji mwingine kijana ni gumzo baada ya kuwaamuru waumini wake wa kiume kulamba vidole vyake baada ya kuvitumbukiza kwenye supu na ugali.
Washarika wa kiume wanaweza kuonekana kuwa wanyenyekevu sana na kulamba vidole vya mhubiri bila wasiwasi.
Ni video ambayo imeibu hisia tofauti...
Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja juu ya wafungwa wa kivita wakati wa WWII. Huyu jamaa alikuwa ni mmarekani aliyekuwa anaishi Ujerumani. Baada ya Warusi kuingia Berlin, wakambeba wakimtuhumu kuwa mNAZI.
Akiwa gerezani njaa ilikuwa kali sana. Walikuwa kila siku wakati wa msosi...
Leo muda wa jioni nilikuwa maeneo ya Mbezi ya Kimara nilikuwa nimesimama namsubiri rafiki yangu pembeni kwa mbele kulikuwa na mtu anauza supu ya pweza na vipande vyake na ngisi na kachori.Nikiwa pale walikuja watu kadhaa kununua nilichokiona.
Mteja alikuwa anachukua kijiti cha kuchomea anatoboa...
Wadau wa JF
Nimeingia Iringa muda huu kikazi
Nimeagiza supu nzuri, tamu, ya kutosha na tena yenye ladha ya kipekee kabisa
Furaha yangu ilizidi zaidi nilipoambiwa na mhudumu kuwa bei yake
shs 1,500 tu.
Nafurahi sana kuwa Mkoani Iringa
Mchanganuo wa biashara ya supu ya pweza
Pweza ni mazao ya bahari ya Hindi. Samaki wa aina tofauti, pweza, ngisi, dagaa kamba na kadhalika ni baadhi ya vinavyopendwa na wakazi wengi.
Biashara hii ni rahisi kuifanya kwani haihitaji mtaji mkubwa wala ofisi na pia hivyo vyakula huuzwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.