Wakuu,
Hiki kitu kinanichanganya kwakweli na sijawahi kuelewa tofauti zake, maana nikiaambiwa kupika supu ama mchesho upishi wangi ni mmoja, lakini kuna sehemu supu na mchemsho ni vitu viwili tofauti!
Hizi picha nimetoa mtandaoni, moja ni supu nyingine ni mchemsho, lakini mimi sioni tofauti...