Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na tamaa,kiburi, na jeuri wakakihama chama, na kwenda CHAUMA.
Baada ya uchaguzi woote waliangukia pua...