Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema