Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #21
Mahela Gani?Huenda wamepewa mahela,maana serikali hii ina mahela mengi mno ya kuhonga

Wanaweza kupewa nafasi nyingine. CCM mara nyingi inaogopa isiwepowapa ''wahamiaji haramu'' vyeo, kesho wengine hawatakubali kuhama tena. Itatosa walioko CCM sasa hivi na iwape hao vyeo. Ondoa Yeriko Nyerere kwa sababu ni kibaka asiye na faida yoyote kwa chama chochote. Huyu ni kama yule Deo Kisandu.Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
Wakati huo mlikuwa mnapata kura kupitia mifumo ipi? Katiba ipi? Sheri ipi? Tume ipi?Cdm walikuwa wanapata ushindi wa halali, sio kwa kuwasujudia ccm. Na kwa haya mabadiliko yanayokuja utaona jinsi cdm watakavyopata kura za kumwaga. Na bila mabadiliko mtatuulia barabarani.
Mifumo hii hii michafu, na katiba hii ya chama kimoja. Tumefika mahali tukasena enough is enough ndio ikazaa NRNE.Wakati huo mlikuwa mnapata kura kupitia mifumo ipi? Katiba ipi? Sheri ipi? Tume ipi?
Haya endeleeni na manoo noo yenu. Lakn mkiendelea kuharibu mali za watu hamtofautiani na majambazi na vibaka, na dawa lake ni moja tu.Mifumo hii hii michafu, na katiba hii ya chama kimoja. Tumefika mahali tukasena enough is enough ndio ikazaa NRNE.
Bado kuna nafasi za wabunge wa kuteuliwa, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, ma Das, Ma ras, wakurugenzi, wakuu wa mashirika, bodi za wakurugenzi na kila aina ya teuzi. Msiwakatie tamaa mapema hujui huko waliko kilio chao wamekielekeza wapi na kitakuja na majibu ganiMwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
CCM ni chama kikatili sana, walijua kutoka chadema na kwenda Chauma watapata ulaji wa kuwa chama kikuu cha upinzani bungeni baada ya kupewa nafasi nyingi za uwakilishi bungeni🤣🤣😂 Ukisikia umalaya wa siasa ndo huu, unabadili wanaume/chama ukidhani utapata maisha mazuri
Tamaa ya mzee fisiMwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
Washikwe matako nakuzibwa pancha kabisaMwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
Yericko Nyerere master of plagiarism ukajiona ushauaga umaskini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
Qmmmmmq Hawa majamaa wamepata kilio cha kudumuYericko Nyerere master of plagiarism ukajiona ushauaga umaskini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Pumbavu.
Ata 1% ya presidential votes hawakupata🤣Tamaa ya mzee fisi
Nina sold evidence kuwa walihaidiwa ubunge,,,hayo ya wakuu wa wilaya hawakuhaidiwa, so tutegemee John Mrema,Moza Ally na Yerriko kuwa ma RC🤣Bado kuna nafasi za wabunge wa kuteuliwa, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, ma Das, Ma ras, wakurugenzi, wakuu wa mashirika, bodi za wakurugenzi na kila aina ya teuzi. Msiwakatie tamaa mapema hujui huko waliko kilio chao wamekielekeza wapi na kitakuja na majibu gani
Walijaribu kuwa na urafiki na shetani....akili za ajabu sana hiziMwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu.
Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema.
Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema.
CHAUMMA walijua watapewa majimbo ya Bure na viti maalumu vya bure.
Sote ni mashaidi CHAUMMA wameshinda Jimbo Moja na kupewa viti maalumu viwili tu, navyo kisheria hawakustaili kupata wabunge wa viti maalumu
Niitieni
-Zittto Kabwe
-Catherine Ruge
-Moza Ally
-Susana Kiwanga
Aisha Madoga
-Yericco Nyerere
-John Mrema
Watu walipokuwa wakitekwa mbona hukuonyeshwa kuumizwa? Ni hivi, hizi hatua tunazochukua kwa huu uhuni zitatugusa wote. Ama hukuona lockdown na upungufu wa mahitaji ulimgusa nani na nani? Ni hivi, mabadiliko ni lazima sio ombi.Haya endeleeni na manoo noo yenu. Lakn mkiendelea kuharibu mali za watu hamtofautiani na majambazi na vibaka, na dawa lake ni moja tu.
Tena shetani wa kike🤣🤣Walijaribu kuwa na urafiki na shetani....akili za ajabu sana hizi
HahhahhahahahhahaTena shetani wa kike🤣🤣