Wako wapi wanawake machachari wa CHAUMMA, Catherine Ruge, Aisha Madoga, Susana Kiwanga?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.

Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na tamaa,kiburi, na jeuri wakakihama chama, na kwenda CHAUMA.

Baada ya uchaguzi woote waliangukia pua, hakuna ata mmoja aliyeshinda ubunge. Wamepoteza nuru na ushawishi Kwa umma now hakuna anayetoa ata kichwa kwenye mitandao ya kijamii, hakuna ata mmoja ambae anafanya ata mkutano wa hadhara ,wote wamepotea kusikojulikana.

CHAUMA, wote wamekimbia mitandao amebaki Yeriko peke yake.

Wako wapi wamama Hawa wa CHAUMA??
 
With all due respect, jaribu kurekebisha uandishi wako. Hata ukiwa na mada nzuri, inakosa u-seriousness kwa sababu inaonekana ni kama imeanzishwa na mtu asiye na upeo wa mambo. Kurudia-rudia kuandika neno ''hata'' kama ''ata'', au kichwa cha habari kuwa na neno ''machachali'' badala ya ''machachari'' mh... Back to topic. Hawa wote, teuzi za wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi n.k. zikianza, kuna watakaobahatika na wengine itakula kwao moja kwa moja. Na Msigwa (mchungaji) yupo ndani ya kundi. BTW mkutano wa jana wa CHADEMA wa Arusha umeonyesha wananchi wanaamini chama gani. Hii itafanya CCM izidi kusita kukubali mabadiliko yoyote ya maana bila kutumia nguvu.
 
Oky mkuu tusamehane 24 hrs naongea English,so Kuna muda nasahau uhandishi wa kiswahili.

Nani awe DC
John Mrema
Yerrico
Susana Kiwanga
Youssouf
Moza Ally
Catherine Ruge
Madogo

In short hao vibaka Wana Hali ngumu saaaana😁
 
U DC haikuwa target yao
 
Oky mkuu tusamehane 24 hrs naongea English,so Kuna muda nasahau uhandishi wa kiswahili.

Nani awe DC
John Mrema
Yerrico
Susana Kiwanga
Youssouf
Moza Ally
Catherine Ruge
Madogo

In short hao vibaka Wana Hali ngumu saaaana😁
Nakubaliana na wewe. Na hata niliposema watapata u-DC, siyo uhakika. KIlichotokea tarehe 29/10, kimefanya waliobaki CHADEMA wawe kama lulu kwa CCM kwa sababu siyo rahisi Samia kujisafisha kimataifa bila kuishirikisha CHADEMA. Kwa kifupi walifanya ''timing'' mbaya sana, wangebaki CHADEMA sasa hivi wangekuwa na thamani kuliko hata kupewa u-DC.
 
Ila kisingewaka kwenye MO29, Hawa vibaka lazima wangekumbukwa ,,kitendo Cha MO29 kuwaka, MaCCM walipanic,wakachanganyikiwa na kuwasahau Hawa vibaka😁
 
Back
Top Bottom