Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa.
Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na tamaa,kiburi, na jeuri wakakihama chama, na kwenda CHAUMA.
Baada ya uchaguzi woote waliangukia pua, hakuna ata mmoja aliyeshinda ubunge. Wamepoteza nuru na ushawishi Kwa umma now hakuna anayetoa ata kichwa kwenye mitandao ya kijamii, hakuna ata mmoja ambae anafanya ata mkutano wa hadhara ,wote wamepotea kusikojulikana.
CHAUMA, wote wamekimbia mitandao amebaki Yeriko peke yake.
Wako wapi wamama Hawa wa CHAUMA??
wako na familia zao wanaendelea na maisha yao ya kawaida na yale ya siasa bila mbamaba yoyote,
hata hivyo,
ni muhimu sana kutokuumia moyo pale mwananchi mwingine anapotumia uhuru na haki yake ya kikatiba kisiasa, kijamii au kiuchumi, kuishi bila kukujulisha wewe anaishije, right?
nadhani itapendeza zaidi kuacha umbea dhidi ya maisha ya asiekuhusu