suzan kiwanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche muombe radhi Suzan Kiwanga Mbunge wa zamani wa Mlimba kupitia CHADEMA

    Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Suzan Kiwanga: Sisi tulisema No reforms No election kama kutishia tu hatukumaanisha, akosoa ajenda ya kugomea uchaguzi

    Jumla ya wananchama 50 wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kutoka Mkoani Morogoro wamejivua uanachama wa chama hicho huku baadhi yao wakijivua nyadhifa mbalimbali za uongozi wa ndani ya chama hicho. Hatua hiyo inakuja baada ya wanachama hao kudai kuwa hawaridhishwi na Maendeleo ya...
Back
Top Bottom