Yaani kubadili jukwaa la siasa kunakuwaje usaliti hadi kuamua kumdhalisha mama mtu mzima hivi?? CHADEMA na Kiwanga vilibebana. Mama alishinda Ubunge kwa kuchaguliwa. Lema na Lissu walitoka NCCR na TLP wakaja Chadema kipindi CUF inasema CDM ni mpango wa CCM. Hii sio Democracy.Kwa hiyo wewe hujawahi kumsikia Heche akiongea chochote watachofanya Chadema wakipewa Nchi....!?
Heche" Tukipata nchi kila mtu atapata pensheni hadi boda boda. ...Tukipata nchi titaboresha maslahi ya polisi na vyombo vya dola"Kwa hiyo wewe hujawahi kumsikia Heche akiongea chochote watachofanya Chadema wakipewa Nchi....!?
View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Pia HecheJohn akiwa Hai kwenye kikao cha ndani kamtukana sana Grace Kiwelu. Mbowe angekuwa mshamba kama hawa jamaa hicho chama kisingekuwepo. Wajaribu kuheshimu watu waliovuja jasho na damu kukijenga chama usiku na mchana.Basi kama Hujawahi kuona wapinzami Wakisema watafanya Nini Wakichukua Nchi basi hujawahi Kusikiliza Hotuba Zao ila Unaangalia Zile Hotuba wanazojibu Kutokana na Matusi wanayotukanwa Jikite kwenye Kuangalia Hotiba Za Heche nyingi sana Ameelezea na Ameeleza kwa Umakini Kila Mara na Hata waziri wa Kilimo ndugu Bashe alichukua Hotuba ya Heche na Akatangaza Mabadiliko kwenye sekta Ya Kilimo Juzi bungeni Kipind cha Bajeti
Heche" Tukipata nchi kila mtu atapata pensheni hadi boda boda. ...Tukipata nchi titaboresha maslahi ya polisi na vyombo vya dola"
Heche ni kichwa wazi.View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
No Reforms, No Election.View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
No Reforms, No ElectionsView attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?