Kwa hiyo Makamu Mwenyekiti anarushiana matusi na walikuwa G55??Na wao wanakitukana chama wakiwa majukwaani. Moto kwa moto ndio dawa.
Hiyo Bima ya Afya kwa watu wote amewahi kueleza atapata wapi fefha za kugharamia tiba ya Watanzania wote?Wewe ni Muongo.
Heche kila siku anaongelea kujenga viwanda, vijana kupewa mikopo walime ili tusinunue mafuta na ngano nje.
Wewe unaishi wapi hujasikia hayo? Ya kuchimba chuma nayo hujasikia? Kilimo cha umwagiliaji? Bima ya afya kwa watu wote?
Wewe ni mtu Muongo.