TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Heche siyo kiongozi mzuri…. Sasa kuwa housegirl na kupata ubunge ni shida ya susan au ahida ta chakandumuz kukosa pool ya eligible viongozi? Na kuishia kutuletea mabeki tatu?View attachment 3359393
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?