Heche muombe radhi Suzan Kiwanga Mbunge wa zamani wa Mlimba kupitia CHADEMA

Heche muombe radhi Suzan Kiwanga Mbunge wa zamani wa Mlimba kupitia CHADEMA

Msikilize vizuri bila kuweka ushabiki.
Wewe ndiye unahitaji kumsikiliza vizuri maana wewe ni shabiki wa CHADEMA. Usijifanye una maskio yenye afya kuliko mroa mada
 
Mkuu Huihui, Usiandikie ushabiki kama hauko Tanzania, ni kweli hujawahi kuisikia Heche akizungumzia mipango ya Chadema, au ni kwa nini Chadema ipo?
Ninaposikia kauli zinazotoka kwenye mdomo wa HecheJohn baada ya kuwa kiongozi wa CHADEMA ya leo huwa naomba msamaha kwa mwenyezi Mungu kwa kumuunga mkono mtu wa aina yake kila anapoongea ni arrogance, ushamba na uboya wa ajabu
 
Yaani kubadili jukwaa la siasa kunakuwaje usaliti hadi kuamua kumdhalisha mama mtu mzima hivi?? CHADEMA na Kiwanga vilibebana. Mama alishinda Ubunge kwa kuchaguliwa. Lema na Lissu walitoka NCCR na TLP wakaja Chadema kipindi CUF inasema CDM ni mpango wa CCM. Hii sio Democracy.

Heche hayuko vizuri, ni mtu wa kupayuka kama Mwenyekiti wake tu. Mwenyekiti anaropoka, Makamu anapayuka!! Nani wa kumshauri mwenzake. Despicable leadership
Wewe kibibi Suzan tulia sindano iingie vizuri
Kuendelea kutikisa matako ya kizee hayo sindano itavunjikiamo!
 
Basi Kichwa chako kina matatizo....! Hata kama una Chuki ila sio namna hiyo.
Mwenye asili haachi asili, Heche ni mbaguzi wa kijinsia. Hawezi kuacha asili yake. Wabunge wangapi wamehama CHADEMA? Shida yake sio wabunge kuhama ni mwanamke kuhama. Anaamini mwanamke anatakiwa kumsikiliza yeye tu, asiamue . Hivi CHADEMA mkichukua dola Heche ndo atatuongoza?
 
View attachment 3359393

Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
nyie Gwajima mCCM mwenzenu, Mabunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM hiyo hiyo kutoa tuu maoni yake bila kuvunja Katiba ya nchi mkamwendea na mtutu wa bunduki na Kanisa lake kufungwa?!. Hadi Leo hajukikani alipo. Kama nyie ni wastahimilivu kwanini hamkuwacha Gwajima kutoa maoni yake kama mtanzania?
 
Pia HecheJohn akiwa Hai kwenye kikao cha ndani kamtukana sana Grace Kiwelu. Mbowe angekuwa mshamba kama hawa jamaa hicho chama kisingekuwepo. Wajaribu kuheshimu watu waliovuja jasho na damu kukijenga chama usiku na mchana.
Kwani Grace Kiwelu Kafanya nini!
Askari wanapokuwa Vitani Na Ni vita ya Hatari Hutakiwi Kuomuesha Unyongee Maana Unaweza Kusababisha Kunyongonyeza mapambano Kwahyo Watu Huwa Wanakushoot Bunduki ili Usiambukize Uoga wemgine
 
View attachment 3359393

Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Heche amekuteua wewe uende kwa Suzan kiwanga ukaombe msamaha maana ww ndio mme wa Suzan kiwanga,Fanya fasta na kesho ulete majibu hapa.
 
View attachment 3359393

Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Unaacha kuangalia kilicho kubeba unatanguliza njaa na kuhongwa anastahili anayo ambiwa maana chadema imemtoa mbali sana huyo malaya wa siasa
 
Back
Top Bottom