suzuki

  1. S

    SUZUKI

    Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
  2. J

    Suzuki Carry New Model inauzwa 14.5M

    Suzuki Carry New Model 4WD Reg: EAA Year: 2016 Engine: 650cc Mileage: 76,862km Gari bado jipya halina kipengele hata kimoja Gari linabodi tayari kama linavyoonekana kwenye picha Bei: 14.5M Call: 0746191267
  3. TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa Suzuki Motor, Osamu Suzuki, afariki dunia akiwa na miaka 94

    Mfanyabiashara mkongwe wa Japan na Mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya Magari ya Suzuki Motor Bw. Osamu Suzuki (94), amefariki dunia. Suzuki aliyeiongoza Kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 40 alifariki Disemba 25, baada ya kuugua ugonjwa wa Saratani. Atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa...
  4. Car4Sale Gari aina ya Suzuki Lihana cc 1490 no DH inauzwa

    Wakuu habari, Ndugu yangu anauza gari aina ya suzuki lihana. Gari inapatikana maeneo ya kimara Mwisho cc 1490 Bei ni m6 inapungua kidogo No 0715568585 Usajili no DHD 2WD gari ni automatic
  5. Suzuki Vitara: Muda wa kwenda Full Electric sasa!

    Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara. Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km. Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
  6. Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  7. Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani). Mods uzi usiunganishwe.
  8. INAUZWA Nauza spea used za magari haya kwenye picha

    ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea. WhatsApp 0712 148001. Pia nanunua magari chakavu . Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA. Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
  9. Car4Sale Suzuki Carry kirikuu

    Nauza suzuki carry kirikuu ipo vizuri haina tatizo lolote bei 5,000,000/= Dar es salaam temeke kwa mawasiliano 0742100444
  10. Naomba kujua tofauti ya hizi Suzuki mbili

    Hapo nimeweka Suzuki Escudo mbili sasa mimi sio mtaalam sana wa magari ila navutiwa sana na Suzuki hizi ila kulingana sifa zake za uimara ninazozikia kwa wanaozimiliki sasa nataka na mm nichukue Moja wapo je ipi ni model nzuri kati ya hiyo nyekundu au hiyo blue? Naombeni ushauri wenu kwa...
  11. U

    Msaada nahitaji Contro box ya suzuki kei

    Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa , kuwaka ina waka lakini kubadilisha gia ndo kwenye mtihan haikubali, naomba mtaallam anielekeze nitapat...
  12. D

    Naombeni ushauri kuhusu gari aina ya Suzuki aerio

    Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya hii gari Natanguliza shukurani
  13. Ninunue gari ipi kati ya Toyota vanguard na suzuki escudo 2008?

    Habari wakuu Kati ya vanguard na suzuki escude 2008 ipi ni gari nzuri nataka kuvuta moja wakuu
  14. Natafuta Used Suzuki Maruti Omni

    Piga 0713 039 875
  15. Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

    Wakuu hamjambo?! Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani? Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
  16. Nahitaji suzuki carry ya kukodi / kununua kwa malipo ya kila mwezi

    Habari Kwa mmiliki wa suzuki carry, nahitaji kukodi kwa malipo ya mwezi au uniuzie kwa malipo ya kila mwezi.. Tutaandikishiana na dhamana zipo. Kama unayo unaweza kunichek DM tukaelewana. Naishi Kigamboni, Dar es salaam
  17. Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat

    Suzuki Suzumar 290 Inflatable Boat ni boat ndogo iliyotengenezwa na kampuni ya Suzuki kwa ajili ya kazi za utalii,michezo ya uvuvi na familia kufurahia mazingira ya bahari au weekend. Boti hii inatumika kwenye mabwawa ya samaki kwa ajili kukagulia,kuvua na kwenye maeneo yenye mafuriko. Boat hii...
  18. Nauza gari yangu Suzuki Escudo

    Salaam wakuu, ~ Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road. ~ Gari ni manual transmission, Gear. ~ Fuel consumption 1400cc. ~ Engine safi. ~ Tyre ziko poa fowl. ~ Seat za watu tano. ~ Gari ni imara sana. ~ Gari ipo moshi. ~ Bei ni shilingi 4,900,000 fixed. Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele...
  19. R

    Car4Sale Suzuki Vitara (manual gear) inauzwa Arusha

    Habari, Maelezo ya gari yapo kwenye picha za gari na kadi yake. Bei ni 5.6 million. Gari ipo Arusha. Mawasiliano 0656388678
  20. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…