Habari za muda wakuu,
Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue
1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission.
Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina...
Nimetoka Airport nikawa nimeingia mandela road nimekamata hii barabara mpka riverside mbele yangu Kilikuwepo kigari kidogo aina ya Suzuki Swift. Aiseee huyu jama kakiwekea Uongo fulani hiki kigari mpaka nikawa nacheka. Gari inanesa utadhani Range Rover au Prado Mayai ninayoiendesha.
Akipunguza...
Rejea hiyo Subject hapo juu. Sina nguvu yakununua vipya, hivyo nataka used chenye afya. Natambua na kuheshimu Madalali ila kwenye hili ninahitaji wamiliki.
Juzi dalali kaniambia Carry mil3.7. Nikachukua namba za usajili nikaomba Query zakikodi au Customs (If any), huko nikapata namba ya...
SUZUKI ARIEL
Year made: 2004
Engine power: 1490 cc,
Petrol engine
Seats: 5
Doors: 4
Mileage: 120,000
Bima ipo mpaka Nov 2021
Kadi yake ipo
Location Dar es salaam, Tegeta
Bei 3.5 milion
Punguzo kidogo kwa mteja serious
Piga simu 0744 033 555
SUZUKI ARIEL
Year made: 2004
Engine power: 1490 cc,
Petrol engine
Seats: 5
Doors: 4
Bima ipo mpaka Nov 2021
Card ya Gari ipo
Location Dar es salaam, Tegeta
Bei 4.1 milion
Punguzo kidogo kwa mteja serious
Piga simu 0744 033 555
Habari jf
Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar
Transmission: Automatic
Engine; Petrol, cc 1300
Milleage: 110,000kms
Year made: 2000
Bei 4 million
Piga simu 0744033555
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.
Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?
Asanteni
Suzuki Jimny
Wakuu naombeni msaada wenu kwa mwenye uelewa kuhusu hii gari maana binafsi ilichonivutia ni kuwa juu na pia utumiaji wa mafuta sifahamu kuhusu gharama za spare pamoja na uimara wake.
Maana mim nahitaji gari ya kuzungukia kwenye shughuli zangu na kwa kuwa ninakofanyia shughuli...
Suzuki Carry
Habari zenu!
Naomba kujulishwa uwezo wa suzuki carry a.k.a kirikuu:
1. Uwezo wa kubeba(maximum weight).
2. Nguvu yake kwenye mchanga,matope,utelezi,miinuko n.k. (pulling).
3. Je inaweza rough roads hasa mikoa isiyokuwa na milima mikali au maeneo yenye miinuko ya wastani.
4...
Kama mada inavyojieleza, naomba maoni yenu kutokana na uzoefu wenu kati ya VTZ, STARLET na SUZUKI SWIFT ipi ni kagari imara na affordable kwa mazingira ya barabara mbovu, fuel cosumption, spare parts, durability, masafa marefu pasipo kusumbua
Habari wanabodi,
Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, Hapa Dar, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.