Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Wakuu habari za jioni!
Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha kushangaza, hizi gari tanzania hazipo nyingi. Gari ina 1990cc na inatumia mafuta ya diesel lita moja...
Salaam wakuu,
Naomba mwenye uelewa na uzoefu wa magari haya, Mitsubishi outlender na Suzuki escudo, hasa kwenye utumiaji wake wa mafuta na upatikanaji wa spare parts bila kusahau uimara wake.
Asanteni.
NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎..
.
Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua kichwa..
.
Suzuki Carry imezaliwa toka Tanganyika inapata uhuru 1961 mpaka leo bado kinazalishwa and as...
Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
Haina tatizo lolote.
Gari ya kuwasha na Kuondoka baada ya Malipo.
Bei 4.million Net. Dalali unanipa elfu 15 tu ya Bando la Mwezi.
wahisha biashara achana na comments 0713096076
Gari iko poa haina shida yoyote.
Tairi mpya.
vioo vipya.
Gari ni ya kumwaga oil na hydrochloric tu.
tuwasiliane chap twende bandarini tukachukue gari
location: Bandarini Dar es salaam, 0713096076.
Get it now.
This machine is manually operated.
It has no any technical problems.
Not repainted at all.
located at kunduchi Dar es salaam.
Priced at 3.6million Tshs
come with your technician and get this drive.
Hotline: 0625750755
Suzuki Vitara
Suzuki has a long history of producing cheap, cheerful and quirky machinery, and Australia has been a happy hunting ground for the small Japanese company.
A flood of new products in 2015 and 2016 brought back the Vitara name for the first time in 17 years – albeit in a different...
Wakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi? Ukizingatia barabara off-road na spea Tanzania. Mafuta usihofu nayamudu
Hii Gari Ni cc 1990 tu lakini Ina space kubwa ndani na ni seat 7. Inafaa kwa kazi ngumu. Mpaka ifike Bongo ni 7,000 USD tu.
**Kuliko uhangaike na sijui Noah, Alphard mwishowe uonekane Mama Lishe sijui mdangaji chukua Grand Vitara uwe wa kishua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.