Habari za muda wakuu,
Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue
1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission.
Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa ni ya shirika moja la kimataifa wao huuza gari likifika miaka 7 au km 70,000 mileage. Hivyo nina...