swahili

  1. danhoport

    Barabara ya mtaa wa swahili karibia soko la Kariakoo inamwagwa lami kwa kasi sababu kuna msafara unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko

    Nimeshtushwa na huu utendaji wa haraka wa kuziba viraka kwenye ichi kipande cha barabara kinachoanzia kwenye mataa ya fire mpaka kwenye mataa ya msimbazi kupitia mtaa wa swahili. Nilichokuja kugundua kumbe kuna msafara wa rais unapita hivi karibuni kwenda kuzindua soko la Kariakoo
  2. RMK Freelance services

    Huduma ya utafsiri kutoka Kiswahili kwenda Kingereza/ Kingereza kwenda Kiswahili/ Top-Quality English to Swahili/ Swahili to English translation.

    Habari, Tunatoa huduma bora na za kitaalamu za kutafsiri maandishi kutoka Kingereza kwenda Kiswahili na Kiswahili kwenda Kingereza kwa usahihi na umakini wa hali ya juu. Huduma zetu huhusisha sifa zifuatazo: ✅ Tafsiri inayobeba maana halisi bila kupotosha. ✅ Matumizi ya Kingereza/Kiswahili...
  3. B

    Mfalme Pharao ni mkali wa Swahili Rhumba

    Mfalme Pharao de Tanzanie, Le Roi de la Rhumba Mfalme Pharao - Usiwasikilize https://m.youtube.com/watch?v=3tz4RFZXwZE
  4. M

    Julia Pastrana mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani

    Mwanamke wa karne ya 19 huko Yuropa ametajwa kuwa mwanamke mwenye sura 'mbaya zaidi' duniani. Jina lake ni Julia Pastrana. Uso mzima wa Julia ulikuwa umefunikwa na nywele kwa sababu ya ugonjwa adimu wa maumbile. Alikuwa akifanya kazi kama mwanasarakasi. Julia alikufa mwaka wa 1860. Baadaye...
  5. G

    Swahili Subtitles: Netanyahu amcharua Rais wa Ufaransa "Tutashinda vita hata mkikataa kutuuzia silaha aibu inawasubiri"

    Mods tafadhalini msiunge huu uzi, Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo). Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82) Marekani huisaidia Dola...
  6. M

    BBC Swahili inaripoti kwa upendeleo mgogoro wa Israel Vs Palestina

    Hizo propaganda zenu baada ya kushindwa Urusi mumehamia Mashariki ya kati? Ukifungua page ya website ya bbc swahili kila kukicha Isreal hivi hivi huku ikishindwa kuandika kabisa mafanikio ya Palestina. Licha majeshi ya Isreal kupigwa na kurudishwa nyumbani kwao ktk majeneneza lkn wamekuwa...
  7. BIGstallion

    Swahili Teacher from Tanzania and Kenya

    Location: Horizons College of Learning and Enrichment, Australia Position Type: Full-time Salary:Competitive, based on experience and qualifications Application Deadline: 30/10/2024 Job Summary: Horizons College of Learning and Enrichment is seeking a dedicated and enthusiastic Swahili...
  8. Sijali

    Namna nzuri za kutumia pesa za mkopo wa Bilioni 2.5

    Kama mkopo wowote, kama hakuna udhibiti madhubuti, pesa zitakwisha bila kujua zilikokwenda! Na kama mkopo wowote, hiyo miaka arobaini ya grace itapita kama maji. Kama hujasikia, Tanzania imekopa na kupatiwa mkopo mkubwa zaidi kuwahi kutokea, na Jamhuri ya Korea Kusini. Pamoja na kupewa mkopo...
  9. M

    UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa wao si wanene, kulinganana utafiti wa Kiitaliano ambao uliangalia mafuta ya mwili badala ya...
  10. M

    Maajabu ya bbc swahili

    Ktk page yao wanAnalalamika Palestina kupewa na Iran . Halafu wnalalamika Ukrain kunyimwa pesa na Marekani ili kupambana na Urusi Bbc swahili website yenu ibadilike. Waandishi wasiwe bias. Waislam pia tunaipitia page hio Pasaka njema. Waandishi waislam mnaofanya kazi humo ktk vikao vyenu...
  11. M

    Kwanini BBC swahili inahimiza Islamic State wamehusika Urusi wakati Urusi inasema Ukraine ndio wahusika?

    Kwanini BBC Swahili inahimiza Islamic State wamehusika shambulio la Urusi wakati serikali ya Urusi inasema Ukraine ndio wahusika? Warusi wanahimiza Ukraine ndio wahusiks lkn BBC swahili hawataki kuripoti hivyo. Kwanini BBC hataki ripoti badala yake wanayo yao mfukoni?
  12. M

    BBC Swahili VS Hinkle, nani yupo sahihi?

    Nimesoma makala moja ya bbc swahili ikimponda sana mchambuzi na Twitter maarufu ndugu Hinkle Hinkle alisema mashambulio ya Hamas ya October 7 yalifanywa na Isreal alikwenda mbali zaidi na kukanusha ukatili wa Hamas wa Oktoba 7, akidai watu waliohudhuria tamasha la Supernova hawakuuawa na...
  13. M

    Bbc Swahili: Isreal sio ardhi yao ni ya Palestina

    Tangu karne ya kumi na tisa, Palestina imeshuhudia idadi ndogo ya wahamiaji wa Kiyahudi, lakini waliongezeka mwishoni mwa karne ya kumi na tisa na mwanzoni mwa karne ya ishirini kwa kuanzishwa kwa harakati ya Kizayuni. Kabla ya 1880, kulikuwa na Wayahudi 25,000 wanaoishi Palestina kwa vizazi...
  14. M

    BBC Swahili mnatia aibu kuhusu Gaza

    Tunajua hamupendi waislam na mnapenda Mayahudi ktk hivi vita vya Gaza kati ya waislam na mayahudi na washirika wake. Lakini angalau tumieni weledi kidogo ktk kuripoti. Jinsi mnavyoripoti basi pslestina wote washakufa. Yaani licha ya mayahudi kupigwa lkn page yenu ya bbc.swahili.co/swahili...
  15. Jamii Opportunities

    English to Swahili translation of the Tanzania Gender Bench Book on Women’s Rights

    Position Location: Home-based, TANZANIA Type of Contract: Individual Contract Post Level: National Consultant Languages Required: English Duration of Initial Contract: 25 Working Days Duties and Responsibilities With the overall guidance of UN Women and TAWJA, the primary duties are to...
  16. dvj nasmiletz

    Msaada: Nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha

    Wakuu, nimepata google adsense lakini sipati ads kwa sababu ya lugha nifanye nini ku switch toka Swahili to English? Blog yangu ni ya Kiswahili, sasa baada wao kureview inaleta ujumbe wa kutopata ads kwa sababu ya lugha, naombeni msaada wenu. "Your blog isn't ready to show ads and needs...
  17. luangalila

    BBC Swahili ufanisi wenu katika lugha umepungua mno

    Yes, pasi na shaka ni wazi kabisa BBC swahili siku hizi ufanisi wenu umepungua mnooo yaani mna kiswahili kibovu mnooo yaani watangazaji wenu baadhi wana Kiswahili cha muundo wa english, yaani matumizi ya ngeli ni zero yaani in short kiswahili sio sanifu hata page zenu wanaoandika yaani hicho...
  18. Deo Corleone

    Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    Mipango inaendelea kuwezesha shule kujumuisha nyama ya nguruwe katika ratiba ya chakula nchini Rwanda kama njia ya kutokomeza utapiamlo, Olivier Kamana, Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Rasilimali Wanyama amenukuliwa na gazeti la New Time nchini humo akisema. "Tunaziomba shule kuanzisha...
  19. AVIC3NNA

    Swahili Programming Terminologies

    Habari, Katika jitihada za kufanya Nuru (lugha ya kiprogramu ya Kiswahili) iwe rahisi kutumika, tungependa maoni yenu katika kupendekeza misamiati za programu (programming terminologies) tutakazotumia katika lugha ya Nuru. Tunaomba ufanye maneno utayopendekeza kuwa mafupi na rahisi kuelewa...
  20. Chachu Ombara

    Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

    Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
Back
Top Bottom