This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language.
Background
This language is the direct child of a programming language called "Monkey Language" made by Thorston Ball. He...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) ametembelea Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili lililoanza leo jijini Dar es Salaam akiwa ameambatana na Naibu Waziri wake ,Mhe. Mary Masanja(Mb).
Lengo kuu la Onesho hilo ni kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini...
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English.
Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
ABOUT US
At Ada, we envision a world where everyone has access to the healthcare they need. In one of the biggest challenges facing the world, we pioneered a new form of artificial intelligence, combining medical insurance knowledge with bespoke reasoning technology, to empower millions of...
Hello
I am looking for a Swahili tutor to start a project with me teaching swahili classes online to all ages. The person needs a good level of english and access to the internet.
Message me for further information.
Asante
I've been learning Kiswahili for roughly a year using Duolingo. It has been very useful and I have had no problems with it, but I think it would be very helpful for me to also use other resources to learn Kiswahili.
I am aware that the language, like most languages, definitely requires more...
How do you find it guys!!?
Mi binafsi nakubaliiii.
Haappy New yearrr to u alll. Love U
===
Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza.
Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza na ana sifa za muziki wa Tanzania aina ya Bongo Fleva.
Mwaka uliopita...
Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel)
Kumbuka hayo mafuta yamepita kwenye bandari yenu na kusafirishwa mpaka Zambia na matozo kibao.
Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu...
Kama kuna habari mbaya niliyopokea weekend hii, ni ya netflix kutotoa tena swahili subtitles. Hii ina maana fursa moja imefungana hii ni kutokana kwamba kulikuwa na malalamiko mengi ya subtitles nyingi za Kiswahili kuwa Machine generated hivyo kupotosha ukweli.
Mfano Goodbye Guys - Kutafsiriwa...
Hi
I am looking for a swahili tutor to teach my kids swahili. The person must be educated with good english and have use of a laptop for zoom lessons. They must be able to plan each lesson in advance.
Inbox me for further information.
Thanks
Shani
Ndugu zangu, huu msiba wa kitaifa mbona sijaona chakula chochote na wala sijaona watu wakiuliza wala kucomplain
ila huku kwetu ikitokea msiba asubuhi tu utasikia baba fulani chai vipi mara harakati za manunuzi ya mchele, mara mafuta hii yote ni ili watu wapate menu wakiwa wanaomboleza...
Kuna tatizo Sehemu? ama kuna kitu kinatafutwa kwa makusudi?
Kwa chombo cha habari chenye nguvu kubwa Kama hiki kutangaza habari namna hii kinaleta madhara makubwa sana kwa jamii na kuharibu kabisa taswira na biashara husika ambayo nina hakika Kuna watu wamewekeza kwayo.
Hii itatufanya hata...
Swahili programming language (swap) ni lugha ya kuprogram kwa kutumia maneno ya Kiswahili, ni lugha ya kwanza kabisa kuruhusu mtu kuweza kuandika kodi kwa kutumia maneno ya kiswahili (swahili lexical terms), lugha hii ilizinduliwa rasmi tar 2020-05-24 , lengo kuu ikiwa ni kusaidia kujifunza...
Hi,
Looking for people who understand a little bit about Sport and are able to write in Swahili.
We're looking to pay $3 for 400 words. All articles should be unique and will be checked for copy-paste.
Needed around 50 articles for the start.
Please write to this email: andrew@xlncmedia.com...
Niaje.
Noamben kujua kuna tatizo gani kwa hawa wanaorusha habari za bbc Swahili na Sauti ya Ujerumani siwapat kabisa redion wamefungiwa au?
Halafu pia naomba kujuzwa hawa BBC Swahili na vituo vingine vya habari vyanzo vyao vya mapato ni vipi maana nimezoe kuona huku kwetu radio station...
Wafahamu wachezaji wa soka wanaolipwa mapato ya juu zaidi 2020
Linapokuja suala la kupima wachezaji wazuri katika mchezo unaoshabikiwa sana, macho yote huangazia wachezaji wawili walio na upinzani mkali na umaarufu wakidaiwa kuweza kujipatia kipato cha $1 bilioni wakisakata soka. Inaweza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.