Kama mkopo wowote, kama hakuna udhibiti madhubuti, pesa zitakwisha bila kujua zilikokwenda! Na kama mkopo wowote, hiyo miaka arobaini ya grace itapita kama maji.
Kama hujasikia, Tanzania imekopa na kupatiwa mkopo mkubwa zaidi kuwahi kutokea, na Jamhuri ya Korea Kusini. Pamoja na kupewa mkopo...