swala

  1. Suala la ukusanyaji taka mitaani, majumbani na maeneo ya hadhara

    Ningependa kujua suala la ukusanyaji wa taka katika mitaa, majumbani...tangu nimerudi kutoka nchi za wenzetu... sijawahi kuona gari la taka likipita...au utaratibu wa hii nchi ukoje ... maana naona ni tofauti sana..
  2. Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi inajitahidi, ila Wahaya ni special case. Vivyo hivyo kwenye mapenzi, mafundi ni wengi sana, ila watu kutoka...
  3. Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  4. L

    Naiomba Serikali ilitizame upya suala la watumishi kukaa mbali na familia zao

    Mimi ninaomba kuwepo na utaratibu wa kuangalia uwezekano wa wanandoa ambao ni watumishi wa umma kukaa karibu na familia zao. Ndoa nyingi sasa hivi zipo mashakani kwa sababu ya kazi mfano unakuta mama Ni mwalimu Bukoba, halafu baba naye yupo Mtwara. Na mifano mingine tunaona hata utendaji tuu wa...
  5. Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

    Kuna tetesi kwamba mke mdogo wa Haji Manara alimtoroka Haji Manara usiku akaenda kulala 5star Hotel. Je Haji anachapiwa? Ndio shida ya kuanika wake zako mitandaoni na kuwaleta mbele ya midume yenye fedha zao. Kwa wale wapenzi wa Simba, nawakumbusha kwamba Simba iko Dubai na Tajiri wao, ila...
  6. Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  7. Eti Hizi ndio hoja walizotumia kuhukumu swala Feitoto?

    1. Kulipa ela kabla ya kupeleka barua 2. Kutofanya mazungumzo na club. 3. Kuvunja ndoa gafla haikubaliki. Yani uamke asubuhi uondoke nyumbani.(kwenye hivyo vipengere vyote sijaona hoja ya kisheria au labda Wana kumbukumbu za maamuzi ya FIFA kwa kesi Kama hizo walizotumia) 4. Kuna vipengere...
  8. TFF hawataweka hadharani leo msingi na vipengere walivyotumia hukumu swala la Feitoto?

    Nilihisi haya Mambo yatakuwa hivyo. Nikiwa nasubiri nione Nini kilijili Sioni dalili za Tff kutoa ufafanuzi kwa Uma Nini kilichotokea na wao walitumia vipengere gani kuamua Hilo swala. Kama maamuzi yameishatolewa kwanini waendelee kusita kutoa ufafanuzi kamili.
  9. Tuna shida mahali kwa swala a Ajira

    Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi Tangazo la kazi unalikuta barabarani na bado watu hawaendi
  10. M

    Je aina hii ya swala wanapatikana Tanzania?

    Hawa Swala wakubwa kama Ng'ombe Kudu na Sable Antelopes wanapatikana kwenye mbuga zetu? Mimi nawaonaga tu wanapatikana Zambia, Namibia, Botswana n Sauz huko.
  11. Suala la Feisal toto ni mgogoro wa Wachezaji wazawa!

    ' Kila mchezaji mzawa hatakubali Feisal pekee ndiye arekebishiwe kipato huku wote wanakimbiza mpira dk 90! hili swala la feisal limeanzia kwa Stephane Aziz-K kununuliwa kwa bei mbaya na kuwa mchezaji ghali klabuni. Ikumbukwe mama mzazi wa Azizi K ndiye aliyekuwa meneja wake. Leo feisal kudai...
  12. S

    Feit toto asipangwe mechi yoyote kwa sasa hata akiwa tayari kucheza wakati swala lake linashughulikiwa

    Huu ndio ushauri wangu kwa kocha na uongozi mzima wa Yanga. Yanga mtakeni Fei na Azam wafuate taratibu kisha mumuruhusu aende zake huyu hawezi tena kuitumikia club ya Yanga kwa moyo kwani hata mkimuongeza mshahara, kesho anaweza kushawishiwa kwa mshahara mkubwa zaidi hivyo atawasumbua tu...
  13. K

    Kwanini rushwa iwe suala la Rais pekee?

    Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee. Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi. Watanzania inabidi sisi tutoe tu mawazo na kupiga kelele kwenye rushwa na tutake majibu. Mfano kama huna...
  14. E

    Msaada: Kurudia mtihani wa o level nikiwa nipo chuo

    NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
  15. Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

    Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka. Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
  16. Mpaka sasa hili suala la betting, jamii inalitazamaje?

    Wana jf! Mimi sina mengi Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk! Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia! Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo...
  17. Suala la maji wanyonge hatuna pa kusemea

    Hata nguvu ya kusalimia sina. Mji mzima kila mtu analalamika maji hakuna. Hatuogi, hatufui, hatupiki....maji yamekuwa kama madini.....mtaani hayapatikani, na watu wa magari wanaosambaza hawauzi tank moja la lita 1000 ni kuanzia lita 3000 tena kwa 120000 hizo lita 3000. Hivi kweli sisi...
  18. Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  19. Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  20. A

    Naomba msaada kuhusiana na hili swala

    Mimi ni fundi. Niluenda kwa tajiri na kumfanyia hesabu ya gharama zinazohitajika akanipatia kiasi chote Cha fedha kwa ajili ya kazi yake ila sikuenda kufanya kazi kwa wakati na nikamuarifu yakuwa nitafika kufanya kazi siku flani. Kabla ya hiyo siku kufika alinifuata na kwenda nae kituoni ndipo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…