Habari wana JF
Ni matumaini yangu hamjambo wote mnaendelea vizuri. Kwangu mimi kuna suala lanitatiza kidogo hapa.
Et wanaume wezangu baada ya sex ni lazima kumpa mwanamke hela au demu wako unayempenda?
Kwangu naona kama nikimpa hela kwa muda huo naona kama anajiuza kwangu yaani kama nimelala...
Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani.
Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu.
Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana...
Peace be with you all,
Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee kimwana haswaa.
Demu ni mkali hatari sikua na mzuka na wanawake kutokana na deal fulani kwenda ovyo...
Nianze na hili, Kwa shilingi elfu Moja unapata SMS za Wiki zipatazo 5000 na Kwa elfu 2 unapata SMS za mwezi 9000.
Maajabu, Mmeweka Ukomo wa Kutumia SMS hizo, yaan Kwa siku Mteja wenu atumie SMS 300 tu, kiwe ni kifurushi cha wiki au mwezi.
Tafasiri yake Kwa Mteja wa Kifurushi Cha wiki Sms...
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.
1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.
Sasa swali la...
Fatma naona ana vita binafsi na Comrade Mwingulu, kweli swala la tozo angekuwa yeyote hata yeye Shangazi angefanya kama anavyofanya Comrade Mwingulu. Ndiyo kiapo chake kinavyotaka kupokea maelekezo ya mamlaka za juu yake mfano bunge na kutekeleza, kama hutaki maelekezo andika barua ya kujiuzulu...
Habarini,, wakubwa heshima yenu,,, mimi ni muhitimu wa mwaka huu ni binti nna 23 yrs,sina mpango wala fikra kuusu kuajiriwa, naamini zaidi katika kujiajiri(biashara), Nimefanikiwa kuwezeshwa mtaji wa 5M, nataka kuingia kweny biashra ya vipodozi na urembo kwa ujumla, sababu kwanza naipenda, na...
Nasumbuliwa na mgongo ni takribani miaka mitatu sasa,hasa wakati wa usiku nimekuwa ni mtu ambaye sifurahii sana usingizi,mgongo una asili ya moto tu mda wote na kama sio kuhisi nimepakwa pili pili na kifua kwa mbali kinapataga moto,niliwahi Pimwa vidonda vya tumbo nikaambiwa majibu yako positive...
Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake.
Nimewahi na nitaendelea kusema unapofanya biashara au unapotaka kuanzisha biashara fata au angalia moyo wako unapenda...
Habariii!
Utafata utaratibu gani endapo umemaliza chuo, cheti hujapata unapata sehemu za kufanya kazi lakini kinaitajika hicho cheti ambacho hakijatoka.
Hivi professional results uwa zinaruhusiwa kuombea kazi instead of cheti?
Nilijaza form kupitia online, lakini sijapata registration namba na profile picha ina-fail kui update. Mliowahi kujaza hiyo form ya TaESA naombeni maelekezo nipate registration namba.
Wafanyakazi walihitaji nyongeza za uhakika. Ila anachofanya sasa ni vituko tu. Kwa maisha haya elfu ishirini itasaidia nini. Watumishi wanaitaji vitendo zaidi.
Kwa wastani kila mtumisi kaongezewa buku tu kwa siku. Kwa maisha haya hiyo elfu moja inamaana gani?
Mwaka jana mliongeza elfu 2 eti...
Mgogoro wa Loliondo ni tofauti na Mgogro uliopo ndani ya eneo la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.
Salome Makamba yeye anaona ni moja. Hajui kutofautisha.
Sendeka alichangia kuhusu mapori tengefu na mapori ya akiba lakini yeye akajaribu kumkosoa Sendeka au kumshambulia kwa kutumia mgogoro wa...
Tumesikia kuwa UN imeanza kuleta chokochoko kuingilia mambo yetu ya ndani, hasa suala la Ngorpngoro na Loliondo.
Tumesikia tetesi kuwa suala hili kupelekwa kimataifa ni viongozi wa kimasai toka Kenya ambao wanafaidika na malisho ya nchini Tanzania.
Lakini haswa chokochoko hizi ni kutokana na...
Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli na petroli. Mfano ni hii ya sasa kabla ya 2021 lita ya mafuta ya petrol haikuzidi 2300-2600. Kwa...
Je kwenye uandishi wa barua ya maombi, anwani unaandika ya taasisi husika au unaandika anwani ya sekretarieti ya ajira?
pia je barua ya maombi inawekwa pale kwenye kipengele cha Recomendation Letter au inawekwa sehwmu gani?
naombeni msaada katika hilo wakuu🙏🙏🙏
Kwa muda mrefu nimekua nikijiuliza hili swali bila kupata majibu muafaka.
Kila linapoibuka swala la ushoga, mara nyingi nimeona wanawake ama wakiwa hawaonyeshi kukerwa nalo, au wakilitetea. Na pia mara nyingi nimeona mashoga wengi marafiki zao wakubwa ni wanawake na wanawake hao huwa hawaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.