Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa.
Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
Watu kumi na tisa ni wengi mno kwa wote kushikamana na kuwa wamoja baada ya mambo kuharibika, hivyo wako baadhi yao wataonza kutoa siri na hata wengine kuomba radhi unless wataenda mahakamani.
Sakata hili ndio kwanza linaanza na tujiandae kusikia mengi yakiwemo ya kushangaza.
Tusubiri.
Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi kununua vifaru vingi na Gun Howitzers nyingi sana wakati wa utawala wa Nyerere kutokea Urusi. Silaha...
Zamani ilikua ni furaha, heshma na sifa njema mwanaume kupata watoto, kuwalea kwa mahitaji na mafundisho bora lakini siku hizi mambo yamebadilika! Wanaume wengi wamekua na ka desturi kapya kabisaaa. Achana na kale ka kukataa mimba ambazo wanajua kabisa wao ni wahusika; Wanaume wengi wamekua...
Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake.
Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
Kwa hili Rwanda nawapongeza sana, zile kelele za alfajiri zinakera sana.
Hii ni Taharifa ya BBC...
Waislamu wanaoadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani nchini Rwanda hawasikii adhana wakati wa swala ya asubuhi, na huenda wasisikie tena, kutokana na marufuku iliyowekwa na mamlaka nchi humo...
Kwema!
Nikiwa pale Mbuga ya Mikumi nilishangazwa na habari niliyoikuta pale. Muongoza watalii alikuwa akitupa simulizi ya vuguvugu linaloendelea hapo mbugani. Stori yenyewe Imakaa hivi;
Hapo Mikumi Nyati na Pundamilia wanataka Mabadiliko ya kimfumo, wanataka Katiba mpya itayaolinda maslahi ya...
Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui..
Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16)..
kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana
huyu janja...
Nakumbuka tukiwa wadogo miaka ya themanini kulikuwa na mapori makubwa sana kuanzia Tegeta, Bunju, Mbezi Beach, Wazo Hill, Kunduchi, Mbweni, Boko. Kulikuwa na swala na sungura wengi sana. Siku moja mimi na marehemu mjomba wangu tulienda Madale kuwinda Swala.
Hili suala la Ngorongoro lichukuliwe...
Bwana Humphrey Polepole, sasa tunataka kusikia maoni yako kuhusu huu ukopaji wa mikopo kutoka nje huku Zanzibar ikishirikishwa na kupata mgao.
Pamoja na mambo mengine,ulilaumu na kukosoa mawaziri kutosema lolote kuhusu kauli ya Mama kula kwa urefu wa kamba yake, na hapo hapo kumpiga kijembe...
Hivi mikopo ambayo serikali huchukua kutoka katika taasisi za fedha za kimataifa ni swala la Muungano?
Na kama ni swala la Muungano, tunaweza kupata takwimu za ulipaji wa deni la Taifa tujue kila upande umechangia vipi ulipaji wa deni hilo?
Wenye kujua mtussaidie hasa mwenye kuweza kuiweka...
Bnafsi naamini kilichomfanya Ndugai ajiuzulu si mashambulizi(shinikizo) kutoka ndani na nje ya chama chake, bali ni baada ya kugundua Rais hana imani nae huku mhimili anaouongoza Rais ukiwa umejichimbia zaidi. Hivyo, bwana Ndugai akaona hana ubavu wa kupingana nae akaamu kujiuzulu.
Kwahiyo...
Habari za asubuhi kwa mtakaosoma.
Kama kichwa kilivyo hapo juu, nashauri Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kukutana haraka sana iwezekanavyo kujadili hili swala la Ndugai.
Vyama vyote vikubwa vyenye itikadi kama ya CCM hufanya maamuzi juu ya wanachama wake wa kawaida , let alone mwanachama...
Naomba nitoe nasaha kwa watawala kujitahidi kuwa wastahimilivu kwa viongozi wenzao na wananchi wengine. Na pia wajitahidi kufuata sheria, kanuni na taratibu zinazotoa nafasi pia kwa wangine bila kutumia mabavu.
Hili ni muhimu ukichukulia kwamba maisha ya binadamu hayategemei mamlaka pekee au...
Kwanza kabisa mimi ni muumini wa kumkosoa mtu yoyote kwa staha, siamini kwenye kudhihaki Wala kutukana. Kama raisi kuna sehemu amekosea basi tumkosoe kwa staha tumkosoe bila kumvunjia heshima, yeye ni binadamu anapitiwa.
Hili la umeme wa kuunganisha watu wote kwa 27,000 ni yeye amelileta...
Nimeunda gig yangu ya kwanza huko fiverr kuhusu website development, sasa ambacho nataka kufahamu wakuu ni je
- Website ya mteja nampatia ikiwa hosted tayari ama nampa source codes?
-Kama nampatia ikiwa hosted, gharama za domain na hosting inabidi niwe nimezijumuisha kwenye cost ya kazi yangu ...
Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa.
Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k...
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.
Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.