Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake.
Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania.
Someni wenyewe hichi alicho...
Nimesikia unaweza kosea na kuunga/kutuma muda wa maongezi au kununua vocha ya bei kubwa sana mfano 100,000tshs, 1,000, 000 tshs n.k, je swala hili limewekewa utatuzi?, Maana kwa wengine inaweza kuwa ni kukosea, sasa basi, Endapo mtu alikosea kufanya ununuzi wa vifurushi, TTCL Customer Care ...
Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu.
Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata viongozi mbalimbali.
Dunia ya sasa...
Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
Wadau wa JF
Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi
Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...
Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu.
Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele.
Siku za nyuma ili...
Habarini za leo wakuu,
Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa.
Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana.
Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na...
Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni.
Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge Mh Job Ndugai.
Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza...
Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo.
Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No alisoma isipokuwa alicheza na makaratasi ili aonekane almaarufu wakati sifa ya mbunge ni kujua...
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika...
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Kajibu hivi
'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.'
Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
Poleni Watanzania.
Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
Wana JF
Tulipoingia awamu ya Tano W. Kalemani alitamba kuwa wenye viwanda kawekeze kwani hali ya umeme katika grid ya taifa ipo njema. Na akaisitiza mkoa utakaokatiwa umeme mameneja watawajibishwa.
Leo hii nipo kikazi sehemu nasubiri umeme siku ya tatu. Kiwanda kimesimama. Moshi na Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.