Je, mbinguni ambapo tunaahidiwa kutakua na perfect life, hakuna kifo, hakuna kulia, hakuna njaa, ni furaha mwanzo mwisho, ni kuimba na kuabudu mwanzo mwisho wanyamapori kama simba, chui, swala, nyumbu na wengine watakuwepo? Je wataishi kwa upendo bila kulana, watashirikiana kila kitu?
Je, wao...
Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro.
Awamu hii ya tano...
Hili jambo limekuwaa kituko
Binàfsii hii KAMATI ya maadili yote ya kuvunja baadaa ya Kutoa matokroo
Uwezii ukakaaa sikutatuu mnajadili Makaratasi huu utovu wa nidhamu
Na kama WAHUSIKA wanamisi docs mnashindwa n kutoa uamuzi wenu maramoja bila kupepesa macho
Nadhanii kama mtaongeza MDA leoo...
SUALA LA CHADEMA TUMEMUACHIA MSAJILI WA VYAMA
Masuala yote yanayohusu maudhui ya utangazaji kisheria yapo chini ya Waziri mwenye dhamana ya habari, Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 pia imefafanua hilo, Sheria inatungwa lakini Kanuni zinatungwa na Mamlaka inayotekeleza sheria hiyo...
Bila kujali elimu zao, nafasi zao kama waziri', muhandisi, kamishna, mkurugenzi au mwandishi wa habari wote level yao ya uelewa inakuwa chini ya STD 7!!
Imagine mwandishi eti anahoji mbona Morrison alikubali kwenye audio clip badala ya kuhoji Mkataba ni OG au Fake! Imagine mtu mwenye akili...
University of Nairobi imeishinda university of Ghana kimasomo, (tukizingatia ranking) lakini university of Ghana ina miundo mbinu (infrastructure) ya ajabu. Imejengwa ikajengeka. Ina majengo mengi na yenye hadhi ya juu. Hakuna university hapa A.M imeikaribia kwa majengo.
Kuna Jambo linaendelea clouds media ktk vipindi vyao wameanzisha msemo usimsifie MTU akiwa amekufa msifie akiwa hai.
Kiuhalisia huyu Kapiga ndie anaonekana yupo mbele ktk kusema msifie MTU kabla hajafa. Mm naona ni unafikiri na kujikomba na mwisho wahiki amekianzisha kitamletea maadui wengi...
Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene
======
Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje?
Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake.
Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano.
Hongera sana.
Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe...
Lissi kafanyiwa mahojiano(kwa lugha ya kingereza) huko Ubelgiji(probably leo) kuhusu swala zima la kama tutarajie uchaguzi huru na wa haki, ila alivyojibu,ni wazi mwenzetu huyu sUala la kutegemea uchaguzi huru na wa haki, kwake halipo kabisa kwani ameonyesha wazi hatarajii hilo kutokea, ila...
Huyu jamaa swala la ajira ameliona lakawaida sana bora ajenge barabara, madaraja na flyover na kununua wapinzani tu. Mwenzake jk swala la ajira alilikumbatia sana kiasi ambacho kila mwaka walimu wote waliajiliwa labda ukatae mwenyewe ajira. Madaktari nao wanasugua benchi kitaa.
Ikumbukwe kwamba...
Leo asubuhi nimeskia Clouds Media wanazungumzia wakazi wa Salasala, Goba na maeneo yanayopakana na mito kutupa takataka mitoni, hii husababisha msimu wa mvua mito kujaa ama kupeleka takataka baharini, ubaya taka taka hizi ni plastic.
Swali ni kwamba viongozi wa Serikali za mitaa wanakimbia...
Hawa jamaa nimewaangalia kwa ukaribu wanavyoendesha bahati nasibu yao. Watu hawa huwa na namba tatu za bahati, kinachonishangaza ni kuwa kila wakati huwapigia simu watu wawili tu wakati wanasema kuwa namba za bahati zinakubalika kwa arrangement yoyote.
Sasa chukulia namba za bahati ni 658, hizi...
Viongozi wa dini mpaka sasa ishu ya Lissu vs Serikali mmeikalia kimya huku kila upande ukijihisi una haki.
Mpaka Sasa Lissu ni mshindi kwasababu hana kosa lililompasa kuuwawa katika mazingira Yale. Na Wala hana kosa lolote lililomstahili kifo.
Binafsi sijamsikia igp siro akisema lolote ila...
Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.
Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka...
Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi...
Wana JF,
Tangu Rai inunuliwe Watanzania tumeishiwa na hamu ya kusoma magazeti, zamani kulikuwepo waandishi nguli wasio waoga waliokuwa wanapambana na serikali kufichua maovu hata kama habari itawaweka matatizoni.
Siku hizi magazeti yote yamegeuka kuanza kuisifia serilali, au au kushadadia...
Swala la ubaguzi wa rangi Marekani sio swala linalotokea kwa bahati mbaya. Chuki ya Mzungu dhidi ya mweusi sio tabia/hulka ya mtu. Ubaguzi Marekani unatokana na mfumo wa nchi hiyo, Wabaguzi wa rangi nchini Marekani hawajatokea kwa bahati mbaya bali mfumo ndo umetengeneza watu wa namna hiyo...
Kutongoza ndio msingi wa mahusiano na ndoa. Mahusiano mengi kama sio yote huanza kwa mwanamke kutongozwa kisha huamua akubali ama akatae. Mara nyingi mwanamke ndiye anaeamua kama haya mahusiano yaanze ama yasianze.
Namna unavyomtongoza mwanamke inaweza kupelekea kukataa ama kukubali. Japo...
Bakwata imetoa taarifa kwamba sikukuu ya Eid itakuwa ama siku ya Jumapili tarehe 24 may au siku ya Jumatatu tarehe 25 may kutegemea na mwandamo wa mwezi.
Taarifa imesema ili kuepuka misongamano hapatakuwepo Swala ya Eid kitaifa na kila mtu atapaswa kuswali katika eneo la kwao.
Kadhalika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.