swala

  1. TheDreamer Thebeliever

    Ukomo wa umri ni moja ya ubaguzi katika suala la ajira unaopaswa kukemewa

    Habari wadau! Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa. Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs au 35yrs. Nina uhakika wengi tunamaliza vyuo tukiwa na 23-25yrs jumlisha miaka ya kusugua gaga...
  2. TheDreamer Thebeliever

    Mna maoni gani kuhusu hili suala la uvamizi wa Al-Shababu hapa Palma?

    Habari wadau! Kutokana na vyanzo mbalimbali vya vyombo vya habari inasemekana kikundi cha watu wajulikanao kama Al-shababu wamevamia mji wa Palma. Lakini kuna nadharia mbalimbali zimeenea mitaani kwamba watu hao waliovamia Msumbiji au jamhuri ya watu wa Mozambique sio Al-shabab bali ni siasa...
  3. mathsjery

    Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

    Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero. Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka...
  4. J

    Hili swala limekaaje wadau wa Elimu

    Habari wakuu! Mm ni mzazi na mlezi!! Vyuo vya maendeleo ya jamii (FDC)! Ni Vyuo vya serikali ambavyo vipo chini ya usimamizi wa VETA! Vyuo hivyi vinatoa mafunzo ya ufundi stadi kama ya Vyuo vya VETA, mfano kozi ya umeme, magari, ushonaji, uashi, useremala n.k! Hata mitihani wanayofanya ya...
  5. Sky Eclat

    Suala la watalii kutokurudi tena Tanzania wanapokuja mara moja, huduma zetu ziboreshwe

    Nchi nyingi zinazotegemea utalii katika uchumi wa Taifa, zimelenga kupata watalii wengi kwa gharama nafuu. Nchi nyingi zinafanya package holiday, ambayo watalii wa kipato cha kawaida wanaimudu. Si wazungu wote kuwa ni matajiri. Wazungu wanaotalii wengi wanategemea credit cards. Kwa gharama za...
  6. Chance ndoto

    Limekaaje suala la madalali kulipwa kodi ya mwezi mmoja?

    Habari za muda huu wakuu? Heri ya mwaka mpya pia. Leo nimekuja kuuliza na kutafuta majibu ya juu ya suala la madalali wa nyumba kulipwa kodi ya nyumba ya mwezi. Hili suala limekaaje hii ni baada ya kuona mijadala kadha wa kadha kupitia mitandao ya kijamii tofauti. Je, kwanini kodi ya mwezi...
  7. Mr Dudumizi

    Hili suala lina uhusiano gani na vifo vya watu

    Kwanza kbs natanguliza salam kwa kila mwanachama mwenzang hapa JF, na pia nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya ujao. Niende sasa kwenye mada kuhusu mambo ambayo nimeyaona na kuyasikia kwa watu mbalimbali, lkn kwa kuokoa muda leo nitazungumzia matukio mawili ambayo nimeyashuhudia kwa macho...
  8. TheDreamer Thebeliever

    kigezo cha uzalendo kitumike kutatua swala la ajira

    Habari waheshimiwa! Kuna kauli moja au msemo mmoja wa waswahili unasema mla nawe ndio mfa nawe. Nawaomba waheshimiwa kwa nafasi zao walizoteuliwa na kuchaguliwa wasije kuwasahau vijana waliopigwa na mvua na jua na kukesha mpaka kunakucha kuakikisha ushindi unapatikana huwe wa goli la kichwa au...
  9. Z

    Tanzania yatajwa katika suala la Utawala Bora na Usalama

    RIPOTI ya kwanza ya mwaka 2019 ya Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala bora APRM umebaini Tanzania kufanya vizuri kwenye suala la ulinzi na usalama mambo ambayo yametajwa na ripoti hiyo kuwa yamekuwepo tangu kupata uhuru. Ripoti hiyo imeipongeza Tanzania katika kusimamia misingi ya haki...
  10. Fohadi

    Kuhusu suala la Kagere, Kaduguda umetuachia maswali yasiyo na majibu

    Nilikuwa namsikiliza katika kipindi cha sports arena Mwina Kaduguda akizungumza kuhusu swala la Meddie Kagere kupata nafasi hafifu ya kucheza kwa siku za hivi karibuni. Mashabiki wamekuwa wakilalamika inakuwaje the best striker anakosa nafasi katika kikosi. Point kubwa aliyoizungumza ni Afya ya...
  11. S

    Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

    Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya. Kama ambavyo sitaki...
  12. mugah di matheo

    Dr. Kigwangala : VX V8 iliyomgonga swala mdori ijisalimishe

    Waziri wa maliasili na utalii amesema kuwa Gari aina ya VX V8 iliyokuwa inaendeshwa kwa kasi ili mgonga swala na kumsababishia kifo katika eneo la mdori magugu huko manyara. Amemtaka dereva wa gari hilo kuripoti Polisi au hifadhini kwa hatua za kisheria. Maoni yangu Huyu jamaa lazima...
  13. S

    Uchaguzi 2020 Wakili Jebra Kambole: Tutazuia uchaguzi kutokana na suala la mgombea binafsi kutofanyiwa kazi

    Tumerudi tena African Court @court_afchpr tunadai kwanini Serikali haitekelezi uamuzi wa mgombea binafsi?, Mtikila amepambana mwisho wa siku ameondoka, tunaendelea alipoishia Mtikila. Serikali yatakiwa kujibu kabla ya tarehe 22/10/2020, tutazuia uchaguzi.
  14. Research Solutions TZ

    Kuumia kwenye mapenzi ni swala la uamuzi

    Nilianza mapenzi nikiwa kidato cha tatu, nilipofika kidato cha tano ndio nilikutana na changamoto, lakini sikulazimisha nilikaza nikaendelea na maisha kiasi ambacho badala ya kuumia mimi akaumia aliyeniacha Tangu hapo nilijifunza, kwamba nikiwa kwenye mapenzi nifurahie tu moment ambayo...
  15. M

    Msipuuze Swala la Hoja ya FAO la Kujitoa

    Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka. Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo...
  16. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Katavi na Kigoma, azungumzia Katiba Mpya

    Wakuu nawasalimu kwa salamu ya Ukombozi , leo tena Mh Lissu anaendelea kuwatembelea Watanzania wenzake kwa lengo la kuwaomba ridhaa ya kupewa kura ili awe Rais wa Tanzania , mikutano ya leo itapigwa Mkoani Katavi na Kigoma . Endelea kubaki hapa hapa JF kwa habari za uhakika. ---- Napenda...
  17. Chief Wingia

    Utaratibu wa kulazimisha mtoto wa kwanza kuanza kufunga ndoa kwanza kisha ndio wafuate wadogo zake

    Habari zenu wana MMU nawasalimu Nianze kwa kusema ndoa ni rizki, ndoa ni bahati, ndoa ni baraka sasa kuna mila na desturi za ndoa ambazo ni za kishamba katika jamii zetu ambazo bado tunazikumbatia bila maana yoyote. Ipo hivi mwanzoni mwa mwaka huu kuna rafiki yangu wa karibu alidhamiria kuaga...
  18. Sky Eclat

    Vyama vya Siasa ndio wawakilishi na watetezi wa wanyonge. Fikirieni suala la makazi nafuu mijini

    Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk. Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...
  19. Analogia Malenga

    Uchaguzi 2020 ACT Wazalendo wapo tayari kuunga mkono CHADEMA, Membe bado hajajibu suala kama atakubaliana

    ACT-Wazalendo ipo tayari ubia na CHADEMA KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kipo tayari kushirikiana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuungana mkono kwa wagombea wanaokubalika kwenye majimbo ili waweze kuibuka na ushindi. Alitoa...
  20. J

    Uchaguzi 2020 Dkt. Bashiru: CCM haiwezi kulisemea suala la Mbunge kupita bila kupingwa kwa sababu ni jambo la Kikatiba

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amesema suala la mgombea kupitishwa bila kupingwa ni la Kikatiba na kwa maana hiyo CCM ni mnufaika au muathirika tu wa kanuni hiyo pale inapotumika. Naye Askofu Bagonza amesema ni dharau na mateso makubwa kuwaongoza watu ambao hawajakuchagua. Maendeleo...
Back
Top Bottom