Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo tarehe 08 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam
Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu wananchi nawasalimu kwa jina la...
Rais Samia binafsi nampenda lakini kila nikifikiria swala la Mbowe furaha yangu yote dhidi yake inapotea. Nifanyeje mimi Samia nampenda na Mbowe nampenda.
Samia ananipa wakati mgumu, kupinga utawala wake nashindwa maana mazuri mengi anafanya lakini swala la Mbowe anachemka tena vibaya sana...
Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.
1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba...
Siku ya Alhamisi Waziri wa tamisemi alitoa kauli ya kuisitisha uhamisho wa watumishi walioko chini ya Wizara yake (TAMISEMI) Ila akasisitiza labda mtu akitaka toka mjini kwenda Kijiji ndiye anayerusiwa kupata kibali Cha kuhama.
Swali langu je kuhama si ni haki ya kila mtumishi? Siyo kila mtu...
Bandugu kwema?
Kama kichwa cha habari kinavosomeka apo juu, naomba mh Rais aingilie kati suala hili otherwise tutasusia ama kuandamana.
Wamepunguza MB gharama imebakia ileile ya mwanzo, maana yake nini kutukomoa ama ninii!!! Kana vipi na gharama za kununua vifurushi zipungue.
Hii siyo haki...
Wanasaikologia ni kweli wanandoa au wapenzi, wakifanya mapenzi sehemu za hadhi ya chini, kama vile msituni, shimoni, chini ya vibanda vya wazi, beach sehemu ya uwazi, vichochoroni, kwenye dari, n.k mwanamke au mwanaume ni ngumu sana kuyasahau hayo mazingira hadi uzeeni kulinganisha na...
Magufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara.
Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p
Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali...
SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA.
Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
Leo naomba niongee na wanaume wenzangu.
Kwanini sisi wanaume hatupendani?
Tunawalaumu wanawake kuwa hawapendani ilihali na sisi pia hatupendani. Nitaeleza kwanini nasema hivi.
Unakuta mtu kwa makusudi anafahamu kuwa huyu mwanamke ni mke wa mtu. Mwanaume mwenzangu kamtolea mahari, kajipiga...
Wakuu najua mpo poa na mapambano ya kila siku, nami nasema mambano yaendelee maana Mungu yupo pamoja NASI
Moja kwa moja niwatake jeshi ,namanisha police ,kwenye Jambo la HAmza msitumie nguvu bali akili itokanayo na mafunzo yenu basi
Tumeona kwenye mitandao ya kijamii,ndugu na marafiki...
Ni kweli hizi chanjo zilizo letwa wiki tatu zilizopita hazina muda wa kuharibika?
Kati ya mambo ambayo yamewashinda kabisa wizara ya afya kwenye hili chanjo ya COVID ni kuweza kutoa elimu sahihi kwa wanchi kuhusu hii chanjo na katika hili wizara imekuwa ikikimbia maswali ya watu kwa kudhani...
Niongezee kidogo..... Swala la gazeti la Uhuru kusema Samia hatagombea nazani ndio hisia na takwa halisi la mfumo ulioachwa...
Kwenye suala la chanjo Polepole hana hoja yoyote ile ya kisayansi au kitabibu. Anachotaka ni kuuambia umma kuwa kiongozi aliyepita alikuwa Bora kuliko huyu.
Nilisikia...
Hakuna shaka yeyote kwamba swala la Uviko 19 au ni la kughushi au lipo lakini si la kiwango kinacho zungumziwa au chanzo si hicho kinachosemwa,ila kinachoitwa Uviko 19, ni kisingizio tu.
Ona ukweli huu hapa👇...
Habar zenu ndugu, jamaa na marafiki mliopo humu..
Ndugu zangu baada ya kupokea taarifa ya kukamatwa kwa mwenyekigoda wa chama fulani, wengi wetu tulijua sasa kutachimbika.
Mfano mimi binafsi nilijua viongozi wa chama chake wangewaongoza wafuasi wao nchi nzima wafanye mgomo wa kula, kunywa...
Kwa kipindi sasa kuna tatizo sana kwenye ishu ya kuvuka Kigamboni.
Kuna vijana ambao wanalazimisha watu kununua Kadi au kutumia Kadi kuvuka Kigamboni.
Ni Jambo jema Ila the way linaendeshwa ndio tatizo.
Sioni sababu yoyote ya kufanya Jambo Hilo kuwa lazima, kiasi kwamba kama hauna Kadi...
Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma.
Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga...
Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira.
Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
Habari zenu ndungu zangu..
Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science.
Physics-E
Chemistry-E
Advanced mathematics-D
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.