swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi. Kwanini Rais Magufuli hakugusia viwanda cha tumbaku na cha Hezi Mazava vilivyofungwa kwenye utawala wake?

    Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja. Wapiga pambio humu walinishambulia. Kiwanda kikafungwa mwaka Jana na wale jamaa kuondoka. Baadaye kidogo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

    Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi. Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi nani mwingine anakereka na hili swali toka kwa wife?

    "Bebi Leo tunakula nini?" Hivi chakula nimenunua, Maharage, mchele, unga, viazi, nyama, samaki vyote viko kwenye kitchen Den na kwenye friji kuna kila kitu. Sasa kwanini uniulize tunakula nini? Wewe huwezi kujiongeza kweli kufanya assortment ya chakula cha kupika.
  4. JamiiForums Tanzania Je, kuna uchawi wa bendera?

    Mambo vipi wana Jf. Natumai wote mko poa. Moja kwa moja kwenye mada. Kwenye pitapita zangu kama mnavonijua mimi ndugu yenu nimekutana na jambo moja geni sana kwenye masikio yangu. Hivi mshawahi kusikia kuhusu uchawi wa kutumia bendera? Yani bendera hizi hizi mfano ya 🇹🇿 Mostly zinazotundikwa...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni majibu ya swali hili la Kiswahili

    Naombeni majibu ya swali hili. JADILI mchango wa tamthiliya andishi ya Kiswahili katika historia ya Tanzania.
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri katika hili. Je, niandike barua?

    Wadau habarini Nina changamoto ya kujiuliza je nimwandikie historia ya suala langu katibu mkuu kiongozi au nimwandikie maneno gani aweze kulegeza masharti ya kuniajiri. Nimepata barua toja kwa katibu mkuu wizara fulani inanisgauri nimwandikie katibu mkuu kiongozi Kama nilivyotangulia kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya swali hili la Uchumi

    What are the main types of production function and what are their application in economic problem?
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango anapaswa kujibu swali la Hawa Mchafu kwa vitendo

    Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa. Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kuanza vikao leo. Spika Ndugai awapongeza wabunge kwa kuuliza maswali mafupi mafupi

    Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo Februari 2 hadi Februari 12 mwaka huu jijini Dodoma. Taarifa ya Ofisi ya Bunge imeeleza kuwa katika mkutano huo shughuli zitakazofanyika ni pamoja na maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yanayotarajiwa kuulizwa na wabunge. Pia, wabunge...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA wawasha moto Bungeni, Bulaya auliza swali zito kwa Waziri, Mdee naye ajiandaa

    Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana. ===== Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji...
  13. JamiiForums Tanzania Swali la kichawi lenye kuhitaji jibu la kisayansi ya maabara

    Mwaka jana majira haya nchi za Ulaya na Marekani walikuwa kwenye kipindi kigumu sana. Raia wao walikuwa wakifa maelfu na maelfu kwa siku sababu ya Corona. Mbona mwaka huu hawafi? Na ninasikia Kuna wave 2.0 ya Corona ambayo ni mbaya zaidi kuliko ile ya Mwaka jana?
  14. JamiiForums Tanzania Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu? Na. M. M. Mwanakijiji Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu ambaye sijaegesha akili yangu mahali mwenyewe nikaondoka. Nimesoma na kufuatilia mijadala ya kile...
  15. JamiiForums Tanzania Swali: Mimba iliyoingia terehe 4-18 inaweza kuonesha dalili zozote?

    Swali dogo tu, Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu? Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi, msaidieni. Natanguliza shukrani.
  16. JamiiForums Tanzania Swali kuhusu Uingereza, Uhispania na Ufaransa wakati wa ukoloni

    UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Enzi Za Ukoloni Mataifa Mengi Ya Ulaya Yalianzisha Makoloni Sehemu Mbali Mbali. Lakini Mataifa Ya UFARANSA, HISPANIA, UINGEREZA Ndiyo Yalijipatia Makoloni Makubwa Zaidi. Nimekuwa Nikisoma Kuhusu Ukoloni Lakini Kuna Swali Sikupata Jibu Lake. HISPANIA Ilitawala...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kwa aliyefika China anisaidie kujibu hili swali

    Hivi katika miji ya China na viunga vyake, Je! Kuna barabara, chuo, au kitu chochote chenye umaarufu kilichopewa jina la kiongozi yoyote au Mtanzania kama ishara au kumbukumbu ya urafiki wetu? Nawasilisha tafadhari. Enzi na enzi.
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa hili swali.

    Je kivipi utajibu swali kama hili?
  19. JamiiForums Tanzania Wanauchumi msaada wa hili swali

    The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the real situation
  20. M

    JamiiForums Tanzania swali kuhusu reverence pay

    Asalaam Wana jamii fourms, nilikua na swali kuhusu severence pay, sisi offisini hua tunapewa mikataba ya mwaka mmjoa tuu na kwa sheria inavyo sema kwamba severence pay hailipwi kwa mikataba mfupi. sasa inakuaje kama umefanya kazi zaidi ya miaka mitano kwa kutumia mikataba ya mwaka mmoja kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…