Kwa aliyefika China anisaidie kujibu hili swali

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
822
Hivi katika miji ya China na viunga vyake, Je! Kuna barabara, chuo, au kitu chochote chenye umaarufu kilichopewa jina la kiongozi yoyote au Mtanzania kama ishara au kumbukumbu ya urafiki wetu?

Nawasilisha tafadhari.

Enzi na enzi.
 
Ongezeni urefu wa comment zimekua fupi sana[emoji23][emoji23]
 
Hata asali inaitwa pinda kule china

Back
Top Bottom