sweden

  1. Mukulu wa Bakulu

    Sweden: Mwanaume achoma Quran nje ya msikiti siku ya Eid

    Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm. ======= Soma zaidi. Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and burned a Quran, following the go-ahead given by a Swedish court, to coincide with the beginning of...
  2. Mr Why

    Toa Maoni yako Kuhusiana na Mchezo wa Koinange utakaoanza hivi karibuni nchini Sweden

    Yapi maoni yako kuhusiana na mchezo wa Koinange utakaoanza rasmi nchini Sweden hivi karibuni. Je unafaa kushiriki ama haufai kushiriki? Kwako habari hizi zinakupa picha gani?
  3. ChoiceVariable

    Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

    Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya.. My Take Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu.. ======= Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini

    Waziri wa Sweden akisubiri garimoshi (treni) kurejea Nyumbani mara baada ya kutoka kazini, Amenunua Baga kama chakula chake cha Jioni. Hili ni tabasamu lake la wastani mara baada ya kuombwa kuweka pozi kwa ajili ya kupiga picha, Jina la raia huyu ni Elva Johansson. Na kazi yake ni WAZIRI WA...
  5. Moronight walker

    Quran yachomwa moto Sweden

    Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki. Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
  6. MK254

    Urusi: Mwana kayataka, Finland na Sweden wamekidhi vigezo vya NATO

    Urusi alijaribu kuparamia Ukraine kisa hakutaka wajiunge NATO, sasa ndio kama kafungulia lango kuu, maana Finland na Sweden sasa wameruhusiwa kujiunga NATO, wamekidhi vigezo, ifahamike Finland ina mpaka na Urusi wenye kilomita 1,271.8 km, hiyo ni zaidi ya umbali wa Dar hadi Kigoma au Dar hadi...
  7. MakinikiA

    Finland, Sweden zile speed za kujiunga Nato zimeishia wapi?

    Salama wandugu, Mambo yalifanyika May sijui watu kujaza form tukasema hii comedy tu kwa sababu mwamba Putin hataki hayo yafanyike katika utawala wake, kwa sasa kimyaaaa watu wamepigwa stop na hakuna kinachoendelea kila mwanachama amesusia hayo maombi hata ukraine haiwezi kujiunga kamwe kamwe kamwe.
  8. Pascal Mayalla

    Hakuna ubaya wowote wala ajabu yoyote Marais kupanda pamoja! Tulipanda basi moja na Rais Mkapa nchini Sweden

    Wanabodi Hii issue ya Rais Samia kupandishwa basi moja na viongozi wengine wa Afrika kwenye mazishi ya Malkia, imegubikwa maneno mengi, ujuaji mwingi, na kujua kwingi, lakini ukweli wennyewe halisi, tatiza ni ushamba tuu mwingi zaidi ya uhalisia!. Watu wakimuona Rais lazima apande benzi na...
  9. Sexer

    Biden asaini Finland na Sweden kujiunga NATO, Putin aendelee kupuuzwa

    Marekani imekuwa mwanachama wa 23 wa NATO kukubali ombi la Sweden na Finland kujiunga na muungano. Licha ya vitisho kutoka Russia Finland na Sweden zimeendelea na mchakato wa kujiunga na NATO huku wakipuuza mkwala mbuzi kutoka Moscow.
  10. beth

    Putin: Urusi itajibu miundombinu ya NATO ikipelekwa Finland na Sweden

    Rais Vladimir Putin amesema Urusi itajibu ikiwa NATO itapeleka Vikosi na Miundombinu katika Mataifa ya Sweden na Finland baada ya kujiunga na Muungano huo Ameeleza, Nchi yake haina shida kama Sweden na Finland zinataka kujiunga NATO, Mataifa hayo lazima yaelewe kwamba hakukuwa na tishio awali...
  11. B

    Dkt. Philip Mpango ahudhuria mkutano wa mazingira Sweden

    02 June 2022 Stockholm, Sweden MKUTANO WA MAZINGIRA Video : Global TV online Makamu wa, rais wa Tanzania Mh. Philip Isdor Mpango amehudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 ya azimio la umoja wa mataifa la ulinzi wa mazingira ulioasisiwa kwa mara ya mwanzo mwaka 1972. Makamu wa rais amesema...
  12. Gama

    Erdogan aweka masharti kwa Finland na Sweden kujiunga na NATO

    Sharti kuu alilpweka ni kwa nchi hizi mbili kuungana na Turkey katika kupambana na ugaidi. Mathalani, Erdogani anasema kuwa Sweden inahifadhi wapaiganaji wengi wa ki Kurdi pamoja na wafuasi wa Fethullah Gulen, ambaye anatuhumiwa kufanya jaribio la kuipunduka serikali ya Instanbul FUATILIA...
  13. Webabu

    Wananchi Sweden na Finland hawataki kuwa NATO

    Mapema mno wananchi waliohojiwa kweny mitaa ya miji mikuu ya nchi hizo mbili wamebainisha kuwa uamuzi wa kuomba uanachama wa NATO uliofanywa hapo juzi na viongozi wao si sehemu ya matakwa ya raia wa nchi hizo. Wamesema kuomba huko na iwapo hatimae watakuwa wanachama wa umoja huo utaondosha...
  14. Narumu kwetu

    Tunataka tuone Russia akimpiga Finland na Sweden

    Zaidi ya mara moja Russia imekua ikitoa vitisho kwamba ,endapo Finland na Sweden wakijaribu kuchukua hatua za kujiunga na NATO atatembeza dozi,cha ajabu jamaa wameshaanza process za awali kabisa ambapo mchakato huu huchukua mwaka mzima kumalizika. Tumeshuhudia England ikiwekeana mkataba wa...
  15. JanguKamaJangu

    Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

    Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya. Finland ambayo inashirikiana...
  16. John Haramba

    Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  17. S

    Waziri Mkuu wa Sweden akataa wito wa upinzani wa kutaka Sweden ijiunge NATO, asema hilo litaleta machafuko na kuharibu amani

    Waziri Mkuu wa Sweden Magdalena Andersson amekataa wito wa upinzani wa kuitaka Sweden kufikiria jambo la kujiunga NATO. Waziri Mkuu huyo amesema kufanya maombi ya kujiunga NATO kwa sasa kutaleta taharuki zaidi ktk eneo la Europe na kuhatarisha amani zaidi. Sweden kwa mara ya mwisho ilikuwa...
  18. Cannabis

    Kampuni ya Disruptive Subdermals nchini Sweden yatengeneza chip itakayowezesha kuhifadhi taarifa za chanjo ya Corona ndani ya miwili wa binadamu

    Sweden, Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Teknolojia hiyo inatumia NFC, ambayo pia hutumika kwenye mifumo mbali mbali ya...
  19. Underthesea

    Story time: Amfuata mwanamke Sweden kutoka India kwa baiskeli

    Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini. Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
  20. FAJES

    Mambo 10 yaliyopo Ulaya, hasa hasa Sweden, pengine kwako ni mageni, na ungependa kuyafahamu

    Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu mada tajwa hapo juu. 1) Kwa muda wote niliopo huku, miaka mitatu sasa, nimesafiri na kutembea maeneo...
Back
Top Bottom