Mwenye meli aliwatelekeza mabaharia hao tisa na kukataa kuwalipa mishahara yao. Mabaharia hao kutoka Syria wamekwama katika bandari ya Mombasa kwa muda wa mwaka moja na miezi tisa.
Mahakama ya Kenya imewaruhusu kuuza meli hio na kujilipa mishahara ambayo mwenye meli alikataa kuwalipa. Meli hio...
Miaka 10 tangu kuanza kwa mapigano nchini Syria, Mke wa dikteta na rais wa Syria, Bashar al-Assad, Asma al-Assad anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi ya binadamu na kushawishi uhalifu dhidi ya wananchi wa Syria, mashtaka yaliyofunguliwa dhidi yake nchini Uingereza.
Asma ambaye ana uraia...
Idadi ya watu waliokufa kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Syria imekaribia laki nne tangu vilipoanza muongo mmoja uliopita, na hadi sasa hakuna ishara ya lini vitamalizika.
Kwa mujibu wa Shirika la Kufuatilia Haki za Binaadamu la Syria lenye makao yake nchini Uingereza, idadi...
Kabla hawajamaliza Msiba mkubwa wa Mohsen Fakhrizadeh Masikini wanywa Damu Iran wamepatwa na Msiba Mwingine Nchinii Syria baada ya Kamanda wao Mkubwa Muslim Shahdan kuuliwa na Ndege ndogo isiyo na Rubani katika mpaka wa nchi ya Iraq na Syria akiwa ndani ya gari . as usual Iran Atamsingizia...
Ni baada ya Balozi wa UN kudumu wa Israel Gilad Erdan kuliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa Jeshi la Iran na wafuasi wake waondoke haraka sana nchini Syria kwani itawaangamiza wote Alielezea kwenye barua yake aliyomuandikia Mkuu wa Baraza hilo.
Report: 19 pro-Iran fighters killed...
Na kichapo cha Jana kimeharibu maghara mengi ya silaha ambazo ndizo Irani ilijitapia nazo kuwa itazitumia kujibu mashambulizi ya hit and run ya Israel... Nadhani ni wakati wa Iran kufuata ule msemo if you can't fight them join them..
Yasemekana Wafuata mkumbo 8 wa Iran wameuawa...
Irani...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Eti ndugu zangu watanzania (wale tu mnaofuatilia siasa za kimataifa kwa muda mrefu kama mimi);
Kwanini Russia ilishindwa kumtetea Saddam Hussein wa Iraq ila kwa sasa inamkingia kifua Bashar Al-Assad wa Syria ilhali nchi hizi mbili zinapakana...
Israel will not tolerate an Iranian threat on its border with Syria and will do whatever is necessary to stop the terrorist regime.
====
The Israeli Air Force (IAF) on Monday night bombed targets in southern Syria, during which five were killed and several others were injured, the country’s...
Russian armored vehicles managed to besiege an American military patrol in the Al-Hasakah countryside of northeastern Syria after a hot pursuit, while a Russian officer addressed the U.S. military regarding the legitimacy of the presence of both forces on Syrian soil.
The video shows how...
Battle for Idlib: Turkey's drones and a new way of war
Turkish forces destroyed two Syrian Su-24 fighter jets, two drones, 135 tanks, and five air defence systems and "neutralised" more than 2,500 fighters loyal to the Syrian government. The term neutralised is used for the killing, wounding...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ameionya serikali ya Syria kwamba italipa gharama kubwa kutokana na mashambulizi yake dhidi ya majeshi ya Uturuki katika eneo la kaskazini mashariki mwa Syria.
Wanajeshi watano wa Uturuki waliuawa katika mji wa Idlib unaodhibitiwa na upinzani siku ya...
Shirika la habari la serikali ya Syria, SANA, limeripoti mapema Alhamisi kuwa Israel imeshambulia maeneo kadhaa karibu na mji mkuu Damascus huku shirika hilo likidai kuwa mifumo ya ulinzi wa makombora ya nchi hiyo iliangusha idadi kadhaa ya makombora.
Taarifa kutoka SANA ilieleza kuwa...
Wizara ya ulinzi ya Urusi imesema waasi nchini Syria wamewauwa wanajeshi 40 wa serikali na kuwajeruhi wengine zaidi ya 80, katika mashambulizi waliyoyafanya katika jimbo la Idlib.
Shirika la habari la Urusi, Interfax limenukuu tangazo la wizara hiyo, lililosema kuwa waasi walizikamata kambi...
Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports.
Eight pro-Iran militia have been killed by an airstrike on the border between Iraq and Syria according to reports.
The eight victims were allegedly apart of the Hashed al-Shaabi...
The German Chancellor will travel to Russia to meet President Vladimir Putin this coming Saturday. The pair plan to discuss the Iran escalation as well as the conflicts in Ukraine, Libya and Syria.
Russian President Vladimir Putin on Monday invited German Chancellor Angela Merkel to Russia...
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa anatarajiwa kusafiri kwenda Niger kwa ajili ya kumbukumbu ya heshma kwa wanajeshi 71 ambao waliuwawa kwa shambilizi la wenye itikadi kali, mapema mwezi huu. Macron atajumuika katika hafla iliyopangwa kufanyika mwishoni mwa juma mjini Niamey ambapo atatoa heshima...
Katika takribani miaka sita iliyopita Umoja wa Mataifa na makundi mengine ya misaada ya kiutu, umefanikiwa kuvuka mpaka kuingia Syria kutokea Uturuki, Iraq na Jordan, ikiwa ni maeneo manne ambayo yameidhinishwa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupeleka misaada ya kiutu kwa mamilioni ya...
Mapigano makali yaliyodumu kwa muda wa masaa 48 huko kaskazini Magharibi mwa Syria yamewaua watu 96, kulingana na shirika linalofuatilia haki za binadamu la nchini humo.
Shirika hilo limesema vikosi vya serikali vikishirikiana na ndege za kivita za Urusi, vilikabiliana vikali na makundi ya...
Uturuki imesema kuwa, imemkamata dada wa kiongozi wa IS aliyeuawa, al-Baghdadi
Uturuki imemkamata dada mkubwa wa kiongozi wa Islamic State (IS) aliyeuawa Abu Bakr al-Baghdadi kaskazini magharibi mwa Syria, maafisa wa Uturuki wanasema.
Vyombo vya habari, Reuters na AP vilimnukuu ofisa mmoja...
Mapambano yazuka nchini Syria kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki
Wanajeshi wa Syria wamekabiliana kwa mara ya kwanza na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki wakisaidiwa na mashambulizi ya makombora kaskazini mashariki mwa Syria. Hayo yameelezwa na kundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.