syria

  1. Webabu

    Marekani imeshaamua kupiga Syria na Iraq. Inasubiri hali ya hewa tu iwe safi ianze kazi

    Raisi Biden wa Marekani na wasaidizi wake wametangaza kuwa mipango yote ya kupiga vituo vya Iran ndani ya Syria na Iraq imekamilika.Kinachosubiriwa ni hali ya hewa tu iwe rafiki kwa kile walichodai kukwepa kusababisha madhara kwa raia. Na sisi walimwengu tunasubiri tuone athari ya vita hivyo na...
  2. MK254

    Israel yaua maafisa wengine wa Iran Syria

    Imekua desturi sasa, viongozi na maafisa wa Iran wanawindwa Syria kote kote na kila wakiuawa, Iran inasema italipiza kisasi. ======== Two people were killed and several wounded on Monday in what Iranian and Syrian media said was an Israeli attack on the outskirts...
  3. 6 Pack

    Bila Waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

    Niaje waungwana Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine kidogo kidogo, mpaka pale watapojikuta wamefanikiwa kujenga empire na kuzifikia zile nchi zenye...
  4. MK254

    Israel yaua viongozi 11 wa jeshi la Iran, nchini Syria

    Israel bana, wana nguvu, wana uwezo, wanayo nia. Na wanatekeleza. ======= Eleven leaders of the Iranian Revolutionary Guard Corps (IRGC) were killed in an airstrike targeting Damascus International Airport on Thursday evening, Saudi media reported the following morning. The commander of the...
  5. Kijakazi

    Christmas in Damascus, Syria once a Christian Countr na Umeme upo!

    kabla ya uvamizi nchi ya Syria kama zilivyokuwa nchi nyingi za kiislamu leo hii kama vile Iraki, Uturuki na nyinginezo zilikuwa Christian majority societies, kila kitu kilibadilika baada ya Uislamu kuingia, Syria na mji wake wa Damascus hata umetajwa kwenye Biblia. leo hii Damascus...
  6. Eli Cohen

    Mbunge wa Uturuki afariki siku mbili ya kuanguka tangu aliposema "Israeli watapata ghadhabu ya Mwenyezi Mungu""

    Hasan Bitmez alipata heart attack akiwa bungeni anatoa hotuba ya kuilaani Israel. --- Turkish Health Minister Fahrettin Koca announces the death of lawmaker Hasan Bitmez, local media reports, two days after he collapsed in parliament, suffering a heart attack at the end of a livestreamed...
  7. Webabu

    Syria imeanza hatua za mwanzo kujiunga katika vita kuipiga Israel

    Miongoni mwa mataifa muhimu katika ushirika wa kuiadhibu Israel ni Syria ambayo tangu vita vianze hapo Oktoba 7 walikuwa wako kimya. Kwa mara ya mwanzo leo wanamgambo walioko mashariki ya Israel na nyuma ya Jordan walirusha makombora machache kuelekea ndani ya Israel. Hakuna madhara...
  8. Webabu

    Misri, Jordan na Syria waipe muda (ultimatum) Israel kuacha misaada iingie Gaza wakati watu wanaanza kufa kwa njaa na kiu. Wavunje mikataba baina yao

    Kiubinadamu wakati umefika wa kuacha kufikiria waisrael wangapi walikufa wakati wa shambulio la Hamas na wapalestina wangapi wameshakufa tangu Israel ianze kulipiza kisasi. Au majengo mangapi yamegeuzwa kifusi. Kinachotakiwa sasa ni kufikiria watu wanaokufa njaa na kiu kwa kunyimwa chakula na...
  9. Webabu

    Israel leo yapiga vibaya Gaza, Ukingo wa Magharibi na Syria huku Marekani ikipeleka ndege 45 za silaha nchini humo

    Nguvu ya mashambulizi ya Israel imeonekana hapo jana na mapema leo, ambapo mashambulizi ya ndege za kivita yameendelea usiku kucha huko Gaza ambako tayari eneo kubwa limekuwa kifusi. Sambamba na Gaza shambulio jengine limetokea tena leo huko ukingo wa Magharibi ambapo kombora limeua zaidi ya...
  10. Webabu

    Mwaka 1973 Misri na Syria walipigana na Israel na hawakushindwa

    Imezoeleka kusikia kuwa Israel ni taifa kali lisiloshindwa kwenye vita. Hata hivyo historia inaonesha mwaka 1973 nchi za Syria na Misri pekee zilipigana kijeshi kwa siku chache kabla kusitishwa vita kwa njia za kidiplomasia baada ya madhara yake kuenea mpaka Marekani na Netherlands. Katika vita...
  11. GENTAMYCINE

    Lijue Gereza la Kijeshi Hatari zaidi duniani linalofunga hadi Raia la Sednaya lililoko Jijini Damascus nchini Syria

    Ni Gereza linalochukua Wafungwa Elfu Tatu tu ila lina Wafungwa zaidi ya Elfu Ishirini Ni Gereza la Kijeshi ila linalochukua Raia wa Makosa mbalimbali Ni Gereza ambalo Wafungwa wakiingia Siku ya Kwanza hufanyiwa Sherehe ya Mateso na Vipigo vikali ambavyo huwafanya Wafungwa hao washindwe Kuona...
  12. L

    Wizi wa nafaka na mafuta ya Syria, “polisi” amegeuka kuwa “mwizi”?

    Shirika la Habari la Syria hivi karibuni liliripoti kuwa jeshi la Marekani "limeiba" kiasi kikubwa cha ngano kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na kuisafirisha kwenye kambi yake ya kijeshi nchini Iraq. Katika miaka ya hivi karibuni, jeshi la Marekani ambalo linajidai kuwa “polisi duniani”...
  13. MK254

    Israeli wapiga maslahi na makundi ya Iran nchini Syria

    Israel huwa hawakawii kulipua kila wakipata sababu. Suspected Israeli airstrikes reportedly occur in Damascus, Syria, early May 29. Suspected Israeli airstrikes have reportedly occurred at several locations in Damascus early May 29. There were no immediate reports of casualties or material...
  14. MOTOCHINI

    Kambi za Jeshi la Marekani Zashambuliwa na Iran nchini Syria

    Irani imefanya mashambulizi ya Drone na Rocket kwenye Kambi za Jeshi la Marekani Usiku wakuamkia leo. Taarifa zinasema Ile mifumo ya Ulinzi wa Anga Ulilala Fofofo. Dunia Inako Elekea Nipatamu sana The main air defense system at a coalition military base in northeast Syria was “not fully...
  15. HERY HERNHO

    HAARP mfumo wa Marekani uliosababisha tetemeko la ardhi Uturuki na Syria

    Tangu tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.8 liikumbe Uturuki na Syria tarehe 6 Februari, na kuua zaidi ya watu 44,000, kumekuwa na mamilioni ya machapisho kwenye Twitter yakishiriki habari, picha na video za maafa hayo. Lakini imgegundulika kwamba baadhi ya machapisho hayo yameilaumu kwa njia...
  16. Sauti ya Umma

    SAU yaishauri Serikali kwa kushirikia na vyombo vya habari kuhasisha misaada kwa Uturuki na Syria

    Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimeishauri serikali kwa kushirikiana na vyombo vya habari na makundi mengine kutenga siku maalum ya kuhamasisha watanzania kuwachangia wenzetu wa Uturuki na Syria waliokumbwa na janga la tetemeko la ardhi. Tetemeko hilo lililosababisha takribani watu 47,000...
  17. Greatest Of All Time

    Uturuki na Syria zapigwa tena na Matetemeko ya Kipimo cha Richa 6.4 na 5.8

    BBC Swahili wamepost muda huu kuwa Uturuki na Syria zimekumbwa tena na tetemeko muda huu Habari zaidi zinakuja. ==== Siku 14 tangu kutokea kwa Tetemeko la Ardhi lililoua zaidi ya Watu 47,000, taarifa mpya ni kuwa kumetokea Matetemeko mengine mawili kwenye Miji ya Antakya na Adana na Mpakani...
  18. Wakusoma 12

    Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

    Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka mtoto Bali walikuwa wanamtafuta mkurugenzi wa hospital hiyo Kwa kumfukuza mwenzako. mkurugenzi wa...
  19. USSR

    Burundi yatuma kikosi cha waokoaji Uturuki, nimejifunza kutoa ni moyo

    Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa, ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa...
  20. Wakusoma 12

    Baada ya kushuhudia athari za tetemeko Uturuki na Syria, Afrika ijitafakari

    Wakuu amani iwe nanyi. Bara Afrika halijaonesha mshikamano na ulimwengu katika kuwafariji wahanga wa tetemeko la Ardhi lililotokea huko Uturuki na Syria. Viongozi wa Afrika wamekuwa wakituchonganisha na mataifa makubwz ya ulaya Kwa kutuambia wazungu hawana upendo na wanatuhujumu. Ukweli ni...
Back
Top Bottom