Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria zitakuwa njema chini ya utawala wao mpya, makundi yanayompinga Assad ukiondoa Wakurdi nusu yake ni...
Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa na serikali kwa mara ya kwanza katika miaka mingi.
Jeshi lilisema Jumamosi kuwa makumi ya wanajeshi...
Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.
Wanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria.
UP DATE===============
🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia...
Majeshi ya waasi yamefanya mashambulizi makubwa Kaskazini-Magharibi mwa Syria, na kuyateka maeneo ya wanajeshi wa Rais Bashar al-Assad, huku wapiganaji 180 wa pande zote mbili wakiuawa kwenye mapigano pamoja na raia 19.
Kundi hilo la Hayat Tahrir al-Sham (HTS) tayari limechukua vijiji kadhaa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiwanda cha magari cha saipa kilijengwa na Serikali ya Iran huko Syria mwaka 2004 kwa ajili ya kuzalisha magari
Hakuna kiwanda cha Iran kinachoendelea na uzalishaji nchini Syria kwa sasa
Serikali ya Iran ikimiliki asilimia 80 huku Syria ikimiliki asilimia 20
Syria...
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
Kawaida ya watu wenye roho mbaya,wauaji,makatili na wenye ushetani. Huwa wakimaliza kula wengine wanarudi hadi kwao.
Uturuki ni Taifa la Kiislamu. Imagine linashambuliwa. Huko Ulaya ambako kuna makafiri wengi Waislamu ndo wanapenda kukimbilia.hawataki kwenda Egypt,Saudia...
Wale wamba wanaojinasibisha na uislam ilhali mate do yao siyo, wanajipanga kumuondoa madarani Assad
Jamaa hao ambao waumiapo huenda kutibiwa Israel, wameonekana kuwa na morali safari hii
Syria ni njia inayotumika kupeleka silaha gaza na lebanon.
Wakati huohuo netanyahu na msaidizi wake...
Wadau hamjamboni nyote?
Jeshi la Israel limefanya shambulizi Jirani na ubalozi wa Iran uliopo Damascus Syria na kumuua Jenerali Mohammad Reza Fallahzadeh ambaye ni naibu kamanda kikosi cha Quds cha Jeshi la Iran
Shambulizi hilo lililotokea katika wilaya ya Mezzah huko Damascus, lilisababisha...
Iran ndipo anapompatia silaha hezbollah
Iran na Russia ndipo waapopeana silaha na usaidizi mwingine
USA ndipo anapopatumia ku-attack adui zake wa middle east
ISIS ndipo wanapouzia artifacts za kiajemi walizoiba iraq na syria.
Turkey ndipo anapo patumia kupaamabana na resistance ya wakurdi.
Baada ya Taarifa ya kifo Cha Nasrallah kutoka, nimeshangaa raia wengi wa Syria hasa eneo la Idlib wakishangilia kifo Cha Nasrallah. Ninachojiuliza ni kivipi kifo Cha Nasrallah huko Lebanon kinawafanya raia wa nchi nyingine ya Syria kushangilia. Tena wakisema Allahu Akbar!!!.
Mwenye jibu anisaidie.
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
Jeshi la Russia limetungua makombora 13 ya Israel yaliyolenga mji wa Tartus ilipo Naval Base ya Russia
🇮🇱🇸🇾🇷🇺 Russia shoots down Israeli missiles?
Israel launched missiles to attack targets in the Syrian city of Tartus, where a Russian naval base is located.
As a result, all 13...
Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo,
Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
Uvamizi huo umefanywa na vikosi maalum vya Israel kwenye "kituo cha kutengeneza makombora cha Hezbollah" nchini Syria.
Serikali ya Israel haijasema lolote kuhusu operesheni hiyo ambayo kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari vya Marekani, ilifanyika mwanzoni mwa wiki.
Vyombo vya habari vya...
Ndege ya Kivita ya Marekani imetunguliwa huko Syria na Pilot aliwahi kueject na kuangukia kwenye tower za umeme na kutokomea kusiko julikana akiogopa kuingia mikononi mwa Syria Army.
BREAKING:
According to initial reports, an American fighter jet crashed in government-controlled eastern Syria...
Kijana mmoja raia wa Syria siku ya Jumapili aliamriwa kushikiliwa kwa tuhuma za mauaji na uanachama katika kikundi cha kigaidi cha kiislam cha Isis kuhusiana na shambulio la visu la Solingen nchini Ujerumani lililosababisha vifo vya watu watatu na wanane kujeruhiwa katika tamasha la kuadhimisha...
Vikosi vya Arab Force's vinavyomuunga mkono Bashir Asad vimeteka visima vya mafuta vilivyokua vikidhibitiwa na Marekani vya Al Omar oil refinery pamoja Water station wanajeshi wa Marekani waonekana wakipaniki kutuma ndege vita kushumbalia mwisho Marekani kuiba mafuta middle east umefika...
Wadau hamjamboni nyote?
Haiishi Hadi iishe mayahudi wamechefukwa na wameamua kufanya kweli
Muda mfupi uliopita wameshambulia na kuteketeza Msafara wa magari ya kijeshi uliobeba silaha kuelekea Lebanon
Mungu ibariki Israel
Hezbollah claims convoy of trucks struck by Israel on Syrian-Lebanon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.