system

  1. School management system

    Kama kichwa cha habari kinajieleza hapo mjuzi wa mifumo hii na anauwezo wa kuunda aje pm tuyajenge
  2. Ukizaliwa na watu wa "System" ni raha sana, wataandaa mambo mazuri kwaajili yako

    Hapa ni kuwa tayari kubebeka, maana wa kukubeba wapo wengi ni kuchagua mgongo huu unibebe na mgongo huu usinibebe. Just imagine, wakati wengine wanapambana kupata kazi kwenye Taasisi ndogondogo Daddy anakuja na list ya Taasisi kubwa na nyeti kwenye Taifa anakwambia son chagua Taasisi ya...
  3. PSRS wanachokifanya ni kukosa umakini..

    Habari wakuu.. Wiki kadhaa zilizopita nilikua nikituma maombi ya kazi.. kutumia ajira portal.. nilikua naitwa kwenye usaili.. sikufanikiwa.. kufaulu.. Nikaomba mara ya pili sikuitwa.. sababu.. lowyer.. hajaidhinisha vyeti vyangu.. nikavipeleka vikaidhinishwa.. 2.nikatuma tena.. sikuitwa...
  4. Tofauti ya Hi- Fi System, Home Theater, Subwoofer na Music System

    Rejea kichwa cha Habari Husika. Mimi ni mdau wa muda mrefu wa Jamii Forums na pia Wa Miaka Lukuki wa MUSIC. kwa kweli nimekuwa na uzoefu wa Music miaka mingi nikiwa nimepata sikiliza music toka katika Radio Mbalimbali ambazo zilikuwa njema nitaje chache. 1. Sony 2. Sharp 3. JVC 4. Panasonic Na...
  5. W

    SoC02 Uwezo unaoweza tishia ulimwengu ni pamoja na system hacking kuanzia mifumo ya si mpaka computer

    Je! Unajua unaweza kudukua Iphones? Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia? Kuna imani kwamba iphones zina strong security ni ngumu kuichezea, inawezekena! Swala la kudukua...
  6. R

    Mtanzania asiyelipa Kodi anakuwa hana uchungu na nchi yake. Asante sana system kwa kuweka hili sawa

    Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi. Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
  7. Epharmacy management system

    Trusted Pharmacy system
  8. Electricity backup system

    Huna haja ya kuwaza umeme kukatika kwani saan agency tumekuja na suluhisho kwaajili yako. Tutakufungi backup system nyumbani au ofisini kwako kwa teknolojia Bora na salama Unaweza ukajiuliza ➡️INAFANYAJE KAZI? ➡️KWANINI NITUMIE BACKUP SYSTEM? ➡️INAFAIDA GANI? Well kuna namna mbili za ufanyaji...
  9. E-Filing System TRA una matatizo

    Heshima sana wanajamvi, Mamlaka ya mapato Tanzania ilibadili mfumo wake wa ku fill kodi mbali mbali kupitia mfumo mpya ambao badala ya kurahisisha kazi umeongeza ugumu wa kazi. Unaweza kuchukua siku nzima ukihangaika kuufungua tu .Bado utasumbuka masaa mengi kurudia rudia kila mara na...
  10. Why did the US imposed sanctions on Turkey over the purchase of the S-400 missile system from Russia?

    From Quora All behind this , it is the intentions of USA to invade/divide Turkey in next decade… Of course Turkey would the next nation after all weak ones had been invaded!! General Wesley Clark Wars Were Planned Seven Countries In Five Years Turkey is been in the market for air...
  11. Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

    Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ======================== Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system...
  12. M

    mfumo wa mauzo kwa biashara yako kwa bei nafuu

    Habarini kwa mara ingine tena, Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia kuingiza mauzo yako na kupata ripoti mbalimbali za mauzo,manunuzi ,faida /hasara na kadhalika...
  13. E-pharmacy management system

    E-PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM (EPMS). 8 MODULES 1. Dispense 2. Products 3. Stocks 4. Purchase order 5. Users 6. Adjustment 7. Dispensing report 8. Settings Each module has full features. Affordable price. Contact us Phone...
  14. J

    US to purchase of medium- to long-range surface-to-air missile defense system for Ukraine

    The US plans to announce as soon as this week that it has purchased an advanced, medium-to-long-range surface-to-air missile defense system for Ukraine, a source familiar with the announcement tells CNN. President Joe Biden, who is currently meeting with G7 leaders in Germany for a summit...
  15. Nawezaje Kuzuia/Ku-freeze System Apps Zisifanye Kazi Kwenye Simu?

    Habari wakuu. Natumai mpo sawa kabisa, naomba msaada kama kuna App au njia ya kuzuia system apps kama vile calls na sms apps zisifanye kazi kwenye Infinix note 10. Nimejaribu ku-freezer kwa app ya freezer ila umekataa inaandika not supported. Kwa anayejua hiko kitu naomba anisaidie tafadhali...
  16. Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hampo makini katika recruitment system yenu

    Wadau kwema, niwapongeze kwa kufanikiwa kuiona siku mpya hakika Tumepata kibali cha siku mpya. Katika pita pita zangu ktk.mfumo wa fursa za ajira utumishi wa umma, nimekutana na kitu ambacho kimenifanya niwaze na kutilia shaka uweledi wa sekretarieti. Nimeambatanisha picha za moja ya nafasi za...
  17. S

    Msaada kuhusu practical interview ya Information System Auditor

    Habari Naomba kujuzwa, mtu ambae anatakiwa afanye practical interview kwa nafasi ya Information System Auditor anatakiwa ajiandae hasa maeneo gani ? Natanguliza shukrani kwa watakaonijibu
  18. Msaada jinsi ya kubadilisha Operating System ya simu

    Mimi nina simu hizi za gougle lakini nataka kubadilisha operating system iwe ya android maana hii gougle ipo limited sana kuliko android. Nimejaribu ku root na pc ya samsung lakini bado. Je, naweza kuroot hiyo operating system
  19. Nimesoma IT, Electrical Installation, pamoja na kufunga Camera System, Fire Alarms, Electric Fence, WI-FI setup - natafuta kazi

    Habari za jioni waungwana. Kama nilivyoeleza hapo juu kwenye heading hio, Nimefanya kazi zote hizo kwa muda tofauti tofauti na bado hahusika nazo mpaka Sasa. Nimekuja kwenu kuomba msaada wa kampuni, shirika, mtu binafsi atakayeweza/kuwa tayari kufanya kazi na mimi. Napatikana mkoa wa...
  20. R

    Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

    Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia. Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025. Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…