Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena.
Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma.
Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...
Mwaka 1850 wakazi waliokuwa wakiishi katika pwani ya afrika mashariki kuanzia mto juba nchini Somalia mpaka msumbiji, walikuwa wakiimba mashairi yao yenye kusifu viongozi wao na familia zao.
Tukimaanisha kuwa thamani ya muziki au kazi za mziki wenye radha ya pwani ulikuwepo hata kabla ya mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.